Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeisha hio.
Imeisha hio.View attachment 1589561
TUMETEKELEZAAAAA.
Mzee baba itakua ni utafiti uliofanywa na aliyevaa hio kitu hapo chini.bro hii ni kauli ya chadema na hio ingine ni tafiti,
Hakika ni kweli.haswaaa, tuna jambo letu kwenye katiba baada ya uchaguzi
Sawa kabisa maana kwa risasi zile alitakiwa afe sasa yeye kakimbilia kutibiwa ubeligiji. Huo sio uzalendo kabisa. Yaani mtu unagoma kabisa kufwa daaah lazima utakuwa kibarakaMbowe na genge lake wanafahamu jinsi Lissu anavyoharibu umoja wa kikundi chao, sasa hivi kila mtanzania anajua lisu ni kibaraka. Kibaya Lisu kukaa belgium kimemuondolea uzalendo.
Kuna wakati mwingine, viongozi wanaweza kukataa kusikiliza ushauri hata kama wajumbe wanalo bora zaidi mfano mzuri ni mwenyekiti wa ccm, kwa hio kwao vitu kama hivi ni vidogo vidogo vya kitabiaWanasema ukiwa na mitego na ujuaji mwingi mwisho wa siku utajitega mwenyewe.
Kuna Chama kimeonesha kukana mgombea wake, yaani kumbe anayoyafanya au kuyasema mgombea wake Chama hakiyatambui.
Ni sad story haswa, lakini sisi wapiga kura tunajifunza. Kuna mojawapo ya tweets za mbunge fulani zilionekana kukana kile alichokisema mgombea wao ingawa ilikanushwa kwa mashaka.
Leo hii tumepata ushahidi mwingine wa namna gani chama kinamkana mgombea na kumtwisha zigo zito.
Naona ni namna gani demokrasia inavyochezewa katika hili, yaani udhamini ni wa kwenye karatasi tu na inapokuja takwa la kuwajibika Chama kinakimbia.
Tujadili bila matusi na tuvumilie tunapoambiwa ukweli.
Vipi mmeshatoka garage au Lissu aje na spana zingine , au gari imekuwa screpa haifai tusipoteze mda.
Msimu wa kupiga magotiHakuna push up msimu huu?