Je CCM haioni tatizo juu ya hizi kauli mbili za mbunge wao
1. Kumwita mwenyekiti mstaafu Godfather
2. Kusema chama kina wenyewe
Hizi kauli hazina maadili na zinaonyesha dharau kubwa sana kwa chama.
Chama kukaa kimya bila kukemea inaonyesha kinaafiki kauli ya kuwa kina wenyewe. Kwa wale ambao sio wenyewe wataishia kuvaa T-shirt na kapelo ila nafasi za uongozi zitabaki kwa wenye chama.
Mzee Mangula toa kauli wewe ndio mzee pekee uliyebaki unaeweza kukemea maovu ndani ya chama