Sasa wewe Chadomo mambo ya CCM yanakuhusu nini?Je CCM haioni tatizo juu ya hizi kauli mbili za mbunge wao
1. Kumwita mwenyekiti mstaafu Godfather
2. Kusema chama kina wenyewe
Hizi kauli hazina maadili na zinaonyesha dharau kubwa sana kwa chama.
Chama kukaa kimya bila kukemea inaonyesha kinaafiki kauli ya kuwa kina wenyewe. Kwa wale ambao sio wenyewe wataishia kuvaa T-shirt na kapelo ila nafasi za uongozi zitabaki kwa wenye chama.
Mzee Mangula toa kauli wewe ndio mzee pekee uliyebaki unaeweza kukemea maovu ndani ya chama
Push gang unateseka ukiwa wapi?Je CCM haioni tatizo juu ya hizi kauli mbili za mbunge wao
1. Kumwita mwenyekiti mstaafu Godfather
2. Kusema chama kina wenyewe
Hizi kauli hazina maadili na zinaonyesha dharau kubwa sana kwa chama.
Chama kukaa kimya bila kukemea inaonyesha kinaafiki kauli ya kuwa kina wenyewe. Kwa wale ambao sio wenyewe wataishia kuvaa T-shirt na kapelo ila nafasi za uongozi zitabaki kwa wenye chama.
Mzee Mangula toa kauli wewe ndio mzee pekee uliyebaki unaeweza kukemea maovu ndani ya chama
Huyu anatakiwa ahojiwe na Kamati Ya Nidhamu na NEC na CCJe CCM haioni tatizo juu ya hizi kauli mbili za mbunge wao
1. Kumwita mwenyekiti mstaafu Godfather
2. Kusema chama kina wenyewe
Hizi kauli hazina maadili na zinaonyesha dharau kubwa sana kwa chama.
Chama kukaa kimya bila kukemea inaonyesha kinaafiki kauli ya kuwa kina wenyewe. Kwa wale ambao sio wenyewe wataishia kuvaa T-shirt na kapelo ila nafasi za uongozi zitabaki kwa wenye chama.
Mzee Mangula toa kauli wewe ndio mzee pekee uliyebaki unaeweza kukemea maovu ndani ya chama
Wajinga sana hawa jamaa, walitaka upuuzi wao wa wasiojulikana Samia auendeleze, walitaka Samia awe kama Magufuli, wameshindwaPush gang unateseka ukiwa wapi?
Matamshi ya Nnape yanawahusu watanzania ambao wanachma na wasio wanachama wavyama vyote vya siasa. Mtu mwenye nganzi ya mbunge anaposimama na kusema CCm ina wenyewe, unaweza ukaendeleza kwa kusema TZ ina wenyewe. Kwa nini nasema hivi. Kama ni kweli CCM ina wenyewe na CCM ndiyo inaendesha/tengeneza/simamia serkali basiina maana serkali ina wenyewe. Kutamka maneno hayo ni sawa na kusema mtu ambaye siyo CCM hahusiki na serkali kwa sababu wenye serkali ni wale wenyeCCM, asiye CCM hiyoserkali siyo yao. Mbunge anatakiwa kuwa mwangalifu anapoongea.Sasa wewe Chadomo mambo ya CCM yanakuhusu nini?
KAULI ZA NAPE ZINATOKANA NA ANDIKO LIPI LA CHAMA CHA MAPINDUZI? ANDIKO MOJA LA CHAMA LINASEMA "NITASEMA KWELI DAIMA, FITINA KWANGU MWIKO". JE, KAULI YA NAPE KWAMBA CHAMA KINA WENYEWE NI YA KWELI? JE, KAULI YA NAPE KWAMBA MWENYEKITI ALIYEFARIKI ALIKUWA GODFADHA KWA BAADHI YA WANACHAMA NI YA KWELI? NA KAMA SIYO ZA KWELI, UONGOZI WA CHAMA MBONA HAUMCHUKULII HATUA ZA KINIDHAMU?Je CCM haioni tatizo juu ya hizi kauli mbili za mbunge wao
1. Kumwita mwenyekiti mstaafu Godfather
2. Kusema chama kina wenyewe
Hizi kauli hazina maadili na zinaonyesha dharau kubwa sana kwa chama.
Chama kukaa kimya bila kukemea inaonyesha kinaafiki kauli ya kuwa kina wenyewe. Kwa wale ambao sio wenyewe wataishia kuvaa T-shirt na kapelo ila nafasi za uongozi zitabaki kwa wenye chama.
Mzee Mangula toa kauli wewe ndio mzee pekee uliyebaki unaeweza kukemea maovu ndani ya chama
Godfather ni Mwenyekiti yupi?Je CCM haioni tatizo juu ya hizi kauli mbili za mbunge wao
1. Kumwita mwenyekiti mstaafu Godfather
2. Kusema chama kina wenyewe
Hizi kauli hazina maadili na zinaonyesha dharau kubwa sana kwa chama.
Chama kukaa kimya bila kukemea inaonyesha kinaafiki kauli ya kuwa kina wenyewe. Kwa wale ambao sio wenyewe wataishia kuvaa T-shirt na kapelo ila nafasi za uongozi zitabaki kwa wenye chama.
Mzee Mangula toa kauli wewe ndio mzee pekee uliyebaki unaeweza kukemea maovu ndani ya chama
Kulia kupokezana.Acha unafiki, kipindi Musiba anawaita akina Maalimu mashoga mlikuwa wapi? Kuna heading alitoa kwenye gazeti lake "Fatma Karume anachokonolewa" mlikuwa wapi pia? Wajinga kabisa nyie, zama zenu zimepita, tena zimepita kipindi kifupi sana! Siasa zimerudi kwa wanasiasa
Kwa hiyo ni Kweli kwamba Polepole ni kiroboto ee? Haha.KAULI ZA NAPE ZINATOKANA NA ANDIKO LIPI LA CHAMA CHA MAPINDUZI? ANDIKO MOJA LA CHAMA LINASEMA "NITASEMA KWELI DAIMA, FITINA KWANGU MWIKO". JE, KAULI YA NAPE KWAMBA CHAMA KINA WENYEWE NI YA KWELI? JE, KAULI YA NAPE KWAMBA MWENYEKITI ALIYEFARIKI ALIKUWA GODFADHA KWA BAADHI YA WANACHAMA NI YA KWELI? NA KAMA SIYO ZA KWELI, UONGOZI WA CHAMA MBONA HAUMCHUKULII HATUA ZA KINIDHAMU?
CCM ina mbinu 100 zakushinda uchaguzi,tumeshatumia moja bado mbinu 99" by Nape.Matamshi ya Nnape yanawahusu watanzania ambao wanachma na wasio wanachama wavyama vyote vya siasa. Mtu mwenye nganzi ya mbunge anaposimama na kusema CCm ina wenyewe, unaweza ukaendeleza kwa kusema TZ ina wenyewe. Kwa nini nasema hivi. Kama ni kweli CCM ina wenyewe na CCM ndiyo inaendesha/tengeneza/simamia serkali basiina maana serkali ina wenyewe. Kutamka maneno hayo ni sawa na kusema mtu ambaye siyo CCM hahusiki na serkali kwa sababu wenye serkali ni wale wenyeCCM, asiye CCM hiyoserkali siyo yao. Mbunge anatakiwa kuwa mwangalifu anapoongea.