Chama kipo kimya kuhusu Nape

Mkuu haya yote yana mwisho,walikuwepo watu ambao akisimama na kuongea unajua kweli mwanaume wa shoka anaongea ,sembuse hawa kwa kauli hizi za wahuni unarudi muda wa kuzomewa ukivaa shati la kijana labda iwe jezi za Yanga. Subiri ni wakati tu watabaki na chama chao.
 
Katika utaratibu si kila onyo ama katazo lazima litolewe hadharani, huenda wameshamrekebisha ndani ya chama , unajuaje!Labda kama na wewe ni kamati kuu ya chama
 
Kuna wakati mangula alishawahi wekwa kando.

Akajiendea zake kijijini kwao na kujihusisha na kilimo.

Alirudishwa hapo katikati baada ya upepo wa kisiasa ndani ya ccm kuwa worse ...kufuatia failure za kina mkama..

Frankly, top leadership yote ya ccm ipo nyuma ya Nape akiwemo mwenyekiti wao wa sasa..

Kiungwana Nape alipaswa nae aitwe kwny hivyo vikao sambamba nao wengne ili kumaliza hiyo misuguano yao.

Kinyume na hapo italeta taswira ya ubaguzi.
Na hii itachochea baadhi ya makada wa ccm kuishi na vinyongo jambo ambalo ni hatari kwa afya ya chama..

Hatahivyo ccm inaweza wa ku-survive bila uungwaji mkono wa kundi lolote hasimu ndani yake endapo SAMIA ataendelea kutumia approach ya magufuli ya ku-deal na wapinzani wake nje na ndani ya chama..

Ila Kama atamcopy purely mwenyekiti wake mstaafu alivyoiendesha CCM kipindi cha awamu ya Nne atatikiswa sana..

CCM katika zama hizi haiwezi kuendeshwa na mbinu za kimapokeo.
akina nape wanamdanganya.
 
Wkt jiwe anawarekodi wakina Kinana,Nape,,Makamba ulitoa ushauri gani kwake
 
[emoji3] [emoji3] Sasa mtu kuwa Godfather si nisifa hiyo.. kila mtu Ana Godfather kwene career fulani
 

Kumwita Vasco Dagama Kuwa ni GOD FATHER implies kuwa he is a head of a Mafia family!!! Nape achunge mndomo wake.
 
Mpigeni risasi 36 kama mlivyofanya kwa Tundu Lissu au yule Henry Kisanduku siku hizi umestaafu?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tumia herufi ndogo basi bro, dah!
 
Akemee. Sumu ya mwanzo haikumtosha?
 
Kelbu la pua hili...nyota nyota zimetawala
 
Hawezi kukuelewa Huyu ni mtoto wa bulembo mkuu,ambae dada ake alikua anamegwa na Zitto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…