Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Chama ya Mapinduzi.Muda wowote kuanzia sasa, tunaelezwa kuwa Clatous Chota Chama "Triple C" atakuwa anatambulishwa kama mchezaji mpya wa Simba kutoka Rs Berkane!
Ndugu mwanamichezo, kama ni kweli unalipi la kuwaambia Wana Simba?
Nlikua naye airport akiwa na uzi wa Msimbazi,,,,,,,( joke)!Muda wowote kuanzia sasa, tunaelezwa kuwa Clatous Chota Chama "Triple C" atakuwa anatambulishwa kama mchezaji mpya wa Simba kutoka Rs Berkane!
Ndugu mwanamichezo, kama ni kweli unalipi la kuwaambia Wana Simba?
Kunywa maji kwanzaMkuu hayo mafununu na matetesi mbona yapo miezi sasa? Ni kama wimbo mzuri. Watu wanapoonekana kuchoshwa na nyimbo zingine unawekwa huo kuwachangamsha tena
Mashabiki tunataka Clotus Chota Chama aje Simba SC na sio kika siku taarifa za tetesi kua anakuja. Wameshatuambia sana hizo habari hadi hatuziamini tena
Kwann mkuu?Mi naona ni kosa kumrudisha
Kwann mkuuMi naona ni kosa kumrudisha
Kwa mfumo tunaoutumia wa sasa pale simba jamaa atatuchelewesha sana tu.....kule yanga kwa wapoozeshaji mpira ndio kulikua kunamfaaMuda wowote kuanzia sasa, tunaelezwa kuwa Clatous Chota Chama "Triple C" atakuwa anatambulishwa kama mchezaji mpya wa Simba kutoka Rs Berkane!
Ndugu mwanamichezo, kama ni kweli unalipi la kuwaambia Wana Simba?
Kule atakuwa kakosa namba anasoma magazetiSimba kama wamemleta wamtangaze,wasituletee upuuzi wa kurushana roho kila siku
Ataharibu mfumo wa kochaKwann mkuu?
Kweli hizi tetesi zimekuwa too much , watu tunataka Chama afike kabisa ndo tuamini na sio blah blah .Mkuu hayo mafununu na matetesi mbona yapo miezi sasa? Ni kama wimbo mzuri. Watu wanapoonekana kuchoshwa na nyimbo zingine unawekwa huo kuwachangamsha tena
Mashabiki tunataka Clotus Chota Chama aje Simba SC na sio kika siku taarifa za tetesi kua anakuja. Wameshatuambia sana hizo habari hadi hatuziamini tena
Muda wowote kuanzia sasa, tunaelezwa kuwa Clatous Chota Chama "Triple C" atakuwa anatambulishwa kama mchezaji mpya wa Simba kutoka Rs Berkane!