Chama kutambulishwa muda wowote Simba

Chama kutambulishwa muda wowote Simba

Nimeshachoka na tetesi za Chama ,Simba wasitufanye wajinga Kama wanamtangaza wamtangaze kama hawajamsajili waseme
 
Huyu jamaa kakimbizwa na nini huko Morocco, isijekuwa kuna kitu hao waarabu wamekiona...
 
Muda wowote kuanzia sasa, tunaelezwa kuwa Clatous Chota Chama "Triple C" atakuwa anatambulishwa kama mchezaji mpya wa Simba kutoka Rs Berkane!

Ndugu mwanamichezo, kama ni kweli unalipi la kuwaambia Wana Simba?
Toka tarehe 5 umeandika ujumbe huu hadi leo kimya.
 
Mkuu tangazo zito kurudi kwa chama kweli?? Sawa na okwi kurudi bongo sio agenda ya kushangaza maana anarudi akiwa kafeli sasa aliyefeli anarudi kurisiti pepa nini cha ajabu.
 
Back
Top Bottom