Chama kwa CAF ni kama Messi kwa UEFA: Achaguliwa mchezaji bora wa CAF Champions League

Chama kwa CAF ni kama Messi kwa UEFA: Achaguliwa mchezaji bora wa CAF Champions League

Vipers iliyocheza na yanga siyo kama hii iliyokuja kucheza na simba, wachezaji kama bobosi na manzoki hawakuwepo kwenye mechi ya simba waliuzwa yakabaki matakataka tu na kama wangekuwepo wala msingetoboa.
.Vipers iliyocheza na uto na ile iliyocheza na simba ni ileile acha kujitoa ufahamu. Ukimuondoa Bobos waliobaki ndio walewale. Manzoki mwenyewe siku hiyo hakucheza na mlifungwa na hawahwa waliopigwa na simba nje ndani.
 
Vipers iliyocheza na yanga siyo kama hii iliyokuja kucheza na simba, wachezaji kama bobosi na manzoki hawakuwepo kwenye mechi ya simba waliuzwa yakabaki matakataka tu na kama wangekuwepo wala msingetoboa.
Embu katafute kikosi kilichocheza uone kama manzoki alicheza.khaaa uto bna.
 
Habari mbaya hii kwa Utopolo..kwani yule mtu wao kule wanakoshirikishwa hajapata tuzo?!
 
Makombe ya Makolo yanaendelea kutiririka: Mchezaji Bora wa wiki, assists za Chama, Shabalala, kiungo punda...........! Ni kulazimisha furaha tu!
 
Juzi kuna mchezaji alipewa tuzo na mtoto wa miaka 8,ila kwa kuwa dogo ni mzungu alikenua huyooooo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Halafu anakuja mtu anaanzisha kabisa Uzi ..eti Utopolo atavunja rekodi za Mnyama..kweeliii?!
 
Mchezaji wa Simba Clatos Chota Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa mashindano ya CAF Champions League.

Hii ni baada ya mashabiki wa soka barani Afrika kumpigia kura kwa kishindo kati ya wachezaji wanne waliokuwa wakiwania.

Hii inanikumbusha Messi alivyokuwa akifunika UEFA kipindi cha ubora wake

Simba wote ni mbumbumbu in Rage's voice. I admit!
 
Back
Top Bottom