Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
Tulikubaliana tukipanda daraja hakuna kuwa na ukaribu wa namna yoyote na timu za kariakoo.
cha ajabu uongozi umeenda kuchukua udhamini wa GSM kwenye utengenezaji wa jezi na pia kuwa mdhamini wake mkuu kupitia kinywaji chake kipya cha juice.
Tunajua timu nyingi za Tanzania zina hali mbaya kifedha hivyo ni lazma zisake wadhamini lakini Pamba mdhamini wake wa zamani ambaye ni jambo group walikua tayari wameshaomba kuongeza mzigo ili wawe wadhamini wakuu wa timu lakini cha ajabu kwa mahaba ya viongozi wa Pamba kwa timu ya Yanga wakaamua kupeleka udhamini kwa GSM.
kwenye jezi ilikua kampuni ya Netsport lakini nayenyewe imepigwa chini na tenda kupewa GSM wakati bado wana mkataba.
Hii hali imepelekea timu kugawanyika vipande viwili ambapo upande mmoja unahisi timu inatumika kama tawi la yanga kwasasa kupitia viongozi wake.