OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huyo ndiyo triple C Mwamba wa Lusaka, akionyesha vitu kwa vitendo.
Amesemekana sana ni mchezaji wa mechi ndogo. Ilivuka mipaka mpaka wachambuzi wa soka waliamua kuweka unazi na kumkosea heshima Mwamba.
Mwamba anasomeka kama mfungaji bora wa ligi, juzi tu hapa aliidhinishwa kama mchezaji bora wa wiki.
Mchezaji wa game ndogo anaweza kuwafunika waarabu wooote na timu zao?
Mchezaji wa mechi ndogo anaweza kuwafunika wabrazili wote wa Petro Luanda na Mamelody? Anawezaji kuwafunika wachezaji wanaosajiliwa kwa mabilioni huko Uarabuni?
Nakumbuka huu mjadala tulishaufunga, lakini kwa sababu bado kuna vijimaneno, inabidi tupige bomu la nyuklia kusambaza kila kitu.
Kujeni tena mseme Mwamba ni mchezaji wa game ndogo.