Chama, mchezaji wa game ndogo anapowafunika Lilepo na Shelulile

Watasema, "Pamoja na kuwa wameingia robo fainali, Simba hawawezi kushinda mbele ya Mamelodi, uchezaji wao ni wa kubahatisha"

Maneno hayo watayarudia kwa hatua ya nusu fainali na pia kwa fainali.[emoji3]
Unaota wewe mdada
 
makabi leppo, mailula wanakuonesha uwezo kila mechi wanayo cheza chama anasubiri mechi ya kibonde ndo aoneshe uwezo hawa watu huwezi walinganisha kamwe
Ila we jamaa sijui hata kama mpira uliwahi kucheza..ukikubali itakugharimu nini..kubali tu maumivu yaishee..utapata tu ahueni.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
yaani mchezaji anaye kutana na vibonde vipers na horoya anafananishwa na wachezaji wanao kutana na mamelod, al hilal,

chama ni mchezaji mdogo na itabaki hivyo, kupata vigoli vi 3 kwenye timu iliyo susa mchezo haimfanyi kuwa mchezaji wa maana

aliwahi nunuliwa kwa hela ndefu alipoenda huko ikawa upuuzi mtupu.
Kwani Chama ameng'aa kwenye game hii tu? Vipi mechi nyingine za CAFCL na CAFCC alizocheza misimu kadhaa nyuma akiwa hapa hapa Simba,alikuwa hafungi?zile nazo zilikuwa mechi ndogo? Huyo Aziz Ki amefunga mechi ngapi huko CAFCL na CC?
 
Jana ni kuota tuuu huyooo Chamaa lingineee huyooo mamamamama....
Simba raha nyieee
 
H
a kawafunga midomo wote, sitegemei tena kusikia kelele toka kwao.
Horoya na mbeya city zina tofauti gani!?
 
Tactically,sijaona simba ikiwa kwenye form yake,Simba imekutana na Horoya mbovu,kwa uchezaji ule wa Horoya hata wangakuwa Ihefu wangepata goli zaidi ya 3.
Hatua inayofuata ndio mwisho wa Simba (siyo kwa ubaya),sioni ikifurukuta huko mbele,naiona aibu kubwa kwa taifa ikiwa jirani.
#save my post
Aibu itaanzia Casablanca
 
Simba ana spirit hiyo, siyo mbaya na siye Yanga tukaiiga

Afadhali umekua muungwana leo nilikua nawaeleza wanajangwani wenzangu kua simba hata iwe mbovu vipi ikifikia mechi za kimataifa hasa kuvuka stage moja kwenda nyingine hua wana morali kama ya liverpool ,
 
Kwani Chama ameng'aa kwenye game hii tu? Vipi mechi nyingine za CAFCL na CAFCC alizocheza misimu kadhaa nyuma akiwa hapa hapa Simba,alikuwa hafungi?zile nazo zilikuwa mechi ndogo? Huyo Aziz Ki amefunga mechi ngapi huko CAFCL na CC?
Zipi hizo!?...za mazembe,Al ahly,kaizer chiefs au jwaneng!?
 
Kaokota dodo kwenye mnazi, ni wa mechi ndogo tu huyo. Akicheza na Yanga mbona nya huwa inambana.
Yanga ndo takataka gani kwenye soka la Afrika? Hata hivyo Chama hujikuta anacheza na wasiojua soka (Yanga) ambao hutumia nguvu nyingi badala ya akili, sasa ukicheza na wasiojua na wanaotumia uchawi unajikuta unapoteana ghafla.

Yanga hawajui.Wangekuwa wanajua na huo ubingwa wao wa kihistoria wa TPL wangetisha hata kimataifa, ila cha ajabu asiye bingwa wa kihistoria ndo anatosha kimataifa. Yanga ni sawa na mwanafunzi anayefaulu vizuri darasani (mitihani ya ndani ya shule) ila kwenye mitihani ya taifa anafeli vibaya.
 
Makolokolo anatisha kwa kuwa msindikizaji bora pasipo na kombe lolote?

Huyo Chama aliye bora alichemka vipi kwa Waarabu Raja Casablanca?

Kwanini aliachwa na klabu ya Waarabu akarudishwa huku umbumbumbuni?

Next match utamkataa huyu huyu Mchezaji wenu bora wa mchongo, tuombe uzima nimekaa pale [emoji117][emoji144]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Bongo kuna wachambuzi sasa,Kuna mmoja nilimsikia kabisa anamfananisha na Mafunguo eti mara pace, vingereza vingi nikaona hili ni gendaheka nikaeka zangu mziki
 
Makolokolo anatisha kwa kuwa msindikizaji bora pasipo na kombe lolote?

Huyo Chama aliye bora alichemka vipi kwa Waarabu Raja Casablanca?

Kwanini aliachwa na klabu ya Waarabu akarudishwa huku umbumbumbuni?

Next match utamkataa huyu huyu Mchezaji wenu bora wa mchongo, tuombe uzima nimekaa pale [emoji117][emoji144]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Wachezaji wamchongo wapo shirikisho mzee
 
Makolokolo anatisha kwa kuwa msindikizaji bora pasipo na kombe lolote?

Huyo Chama aliye bora alichemka vipi kwa Waarabu Raja Casablanca?

Kwanini aliachwa na klabu ya Waarabu akarudishwa huku umbumbumbuni?

Next match utamkataa huyu huyu Mchezaji wenu bora wa mchongo, tuombe uzima nimekaa pale [emoji117][emoji144]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Gerrad Pique alienda United akafeli ,Hazard kafeli Madrid ,Robben alifeli Chelsea Ina maana sio wachezaji bora ?
 
Kaokota dodo kwenye mnazi, ni wa mechi ndogo tu huyo. Akicheza na Yanga mbona nya huwa inambana.
Mbna yanga haipo CL na hata wafungaji hawapo kutoka team yao huko walipo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom