Chama, mchezaji wa game ndogo anapowafunika Lilepo na Shelulile

Chama, mchezaji wa game ndogo anapowafunika Lilepo na Shelulile

Tripo C licha ya kuwa ni mchezaji wa mpira,,,lakini Pia ni Artist Wa mpira!!!Anakupa matokeo ya mpira,,,huku akikuburudisha kwa huo huo mpira,,,Dizaini ya kina dinho,,,Messi!!
 
Mbna yanga haipo CL na hata wafungaji hawapo kutoka team yao huko walipo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Manara alishasema mzee kikwete na baba ake tu ndo zipo kichwani pale Salamander
 
Chama hajawahi kuwa 1st class,Africa tuna 3 levels za players chama ni mchezaji wa daraja la 2,hyo 1st class alishindwa kui-prove Uarabuni.
Ni mchezaji maji kupwa maji kujaa,hana consistence kwenye game kubwa kubwa.
Wachezaji daraja la chama ndio hawa tuliowajaza Simba,Yanga na Azam
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatesekaa ukiwa wapiiii??? Poleeeeeeh
 
  • Thanks
Reactions: Tui
triple c BWABWA LA LUSAKA
Alikukopaa kinyeo hakukulipaa?? Alikukuta mchafu kajifunze kutawaza ndo uuze kinyeo hicho. Poleeeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana ni kuota tuuu huyooo Chamaa lingineee huyooo mamamamama....
Simba raha nyieee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga ndo takataka gani kwenye soka la Afrika? Hata hivyo Chama hujikuta anacheza na wasiojua soka (Yanga) ambao hutumia nguvu nyingi badala ya akili, sasa ukicheza na wasiojua na wanaotumia uchawi unajikuta unapoteana ghafla.

Yanga hawajui.Wangekuwa wanajua na huo ubingwa wao wa kihistoria wa TPL wangetisha hata kimataifa, ila cha ajabu asiye bingwa wa kihistoria ndo anatosha kimataifa. Yanga ni sawa na mwanafunzi anayefaulu vizuri darasani (mitihani ya ndani ya shule) ila kwenye mitihani ya taifa anafeli vibaya.
Haswaaaaaaah umemalizaaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watasema, "Pamoja na kuwa wameingia robo fainali, Simba hawawezi kushinda mbele ya Mamelodi, uchezaji wao ni wa kubahatisha"

Maneno hayo watayarudia kwa hatua ya nusu fainali na pia kwa fainali.😀
Ningependa simba akutane na mamelody ninauhakika atapita kuliko kukutana na muarabu wa direct football
 
Gerrad Pique alienda United akafeli ,Hazard kafeli Madrid ,Robben alifeli Chelsea Ina maana sio wachezaji bora ?
UMRI ndiyo sababu, hata huyo Chama anatamani sana arudi kule kwa Waarabu kwenye mahela mengi mengi lakini kimaisha akili inataka ila mwili hautaki.

Kasi za mikimbio ya Waarabu unazielewa vizuri?

Usiponielewa na hapa pia, hatuingizi pesa zozote katika mada hii, umeshinda.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Bero hapa utabishana na vurya wenye akili kama kimburu..kama Chama kacheza na timu ndogo hebu mtu mmoja anijibu haya maswali systematically bila kupindisha kwa kuweka maneno mengi:
1.Vipers ni wabovu? Walimfanya nini chura kwenye siku zake na walimtoa nani wakafika kilabu bingwa makundi?

2.Leteni msimamo wa point kwenye caf rankings za Horoya na hizo timu zenu!

3.Mamelodi wamecheza na cotton sport na huyo Shalulile akiwemo lakini kashindwa kupiga hat-trick au leteni ranking za Horoya na cotton za caf then mtwambie mbovu zaidi ni nani?

4.Mechi ya kufuzu ya Raja walikua nyumbani walicheza na Horoya walipata goli 2 kwa taabu sana na ile ya away wakashinda 3 baada ya red card! Na kuna madada yalicheza na Monaster away kwenye ligi ya vinonde yakamiliki mchezo bado yakatobolewa sijui mbovu ni nani hapo??

5.Chama na Simba ni Mbovu wamefikaje robo kilabu bingwa kama wawakilishi pekee wa Tanzania wakati simba haikubeba ubingwa wa NBC? Huyo bingwa mbona hayupo makundi kilabu bingwa???

N.B: ukienda chooni jitahidi kujisafisha usiache kinye,,,harufu kali sana hiyo hata raisi wa TFF alishindwa kuvumilia,,,,[emoji16][emoji851]
 
Ile tabia ya kumlinganisha Chama na yule takataka kutoka Ouagadougou ife mara moja...
 
Back
Top Bottom