Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Yani hakuna mwenye jibu...Bero hapa utabishana na vurya wenye akili kama kimburu..kama Chama kacheza na timu ndogo hebu mtu mmoja anijibu haya maswali systematically bila kupindisha kwa kuweka maneno mengi:
1.Vipers ni wabovu? Walimfanya nini chura kwenye siku zake na walimtoa nani wakafika kilabu bingwa makundi?
2.Leteni msimamo wa point kwenye caf rankings za Horoya na hizo timu zenu!
3.Mamelodi wamecheza na cotton sport na huyo Shalulile akiwemo lakini kashindwa kupiga hat-trick au leteni ranking za Horoya na cotton za caf then mtwambie mbovu zaidi ni nani?
4.Mechi ya kufuzu ya Raja walikua nyumbani walicheza na Horoya walipata goli 2 kwa taabu sana na ile ya away wakashinda 3 baada ya red card! Na kuna madada yalicheza na Monaster away kwenye ligi ya vinonde yakamiliki mchezo bado yakatobolewa sijui mbovu ni nani hapo??
5.Chama na Simba ni Mbovu wamefikaje robo kilabu bingwa kama wawakilishi pekee wa Tanzania wakati simba haikubeba ubingwa wa NBC? Huyo bingwa mbona hayupo makundi kilabu bingwa???
N.B: ukienda chooni jitahidi kujisafisha usiache kinye,,,harufu kali sana hiyo hata raisi wa TFF alishindwa kuvumilia,,,,[emoji16][emoji851]
Hapa watakuja na takataka tuu sio majibu..