Chama na Kapama wasimamishwa Simba

Chama na Kapama wasimamishwa Simba

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Nyota wa Simba, Clatous Chota Chama na mwenzake, Nassor Kapama wamesimamishwa kuitumikia Klabu hiyo kwa kile kilichoelezwa ni vitendo vya utovu wa nidhamu.

Taarifa ya Simba imeeleza Wachezaji hao watapelekwa katika Kamati ya Nidhamu kwa hatua zaidi za kinidhamu.

Taarifa hiyo imewakumbusha Watumishi wake wote kuzingatia misingi ya maadili na nidhamu kwa kuwa Klabu haitasita kumchukulia hatua yeyote atakaethibitika kwenda kinyume na utaratibu huo.

1703169401610.jpg
 
Chama ameshajua hadi Kiswahili sanifu, ajiongeze.
 
Chama mchezaji bora zaidi kuwahi kucheza ligi ya Tanzania....
 
Back
Top Bottom