Yaani Wydad imekuwa dhaifu ghafla? Si mlikuwa mnatuambia imeipiga Rivers united 6-0 kwa hiyo na Simba ijiandae na kipigo kikubwa? Baada ya kuona mnyama amekomaa kwa bingwa mtetezi na kumlazimisha ashinde kwa penati, mnaanza kusema eti Wydad ni timu dhaifu!... na kumuamini kijana kinda kulisababisha Simba kuingia hasara kubwa sana ya kutolewa mashindanoni na timu dhaifu ya Wydad,
Sasa ulitaka wajilipue? Ndio matokeo hayo. Jifunze kupokea matokeo vyovyote vile yalivyo, vinginevyo utaugua sonona.Huwezi kuzuia hisia zetu kwa maneno rahisi TU hayo. Simba na Yanga ndio furaha zetu, Simba ameukimbia urithi kwa Mama ujue wa 10m kila goli. Sasa hivi watatamba Yanga TU kma nao watapita. Tutaficha wp nyuso zetu?
Hiyo ni mihemko.. Yani sacko na kanoute watoke kwa sababu zipo.. 🤣 🤣 🤣UTAONGEA YOTE mkuu lakini mchawi ni.........
KUHUSU SUALA LA USAJILI.
NASHAURI YAFUATAYO.
1. NIMESIKITIKA UONGOZI KUMUACHA BENO KAKOLANYA.
Kupata Golikipa aina ya kakolanya itakuwa mtihani mkubwa sana.
Sijui kama Tutakuwa na Golikipa No 2 mwenye ubora wa Kakolanya.
Sijui kama hatutaenda Nje kutafuta mbadala wa MANURA.
2.UBAHILI NA 10% KWENYE IDARA YA USAJILI.
tumeshuhudia wakiletwa wachezaji cheep mno kwenye usajili wachezaji wenye uwezo mdogo sana na gharama ndogo sama
3. USAJILI WA QUALITY NDOGO NA KUKOSA SCAUT WAZURI.
I. Ismail sawadogo.
II .mohamed Qottara
III. Augustino Okkrah. (9)
IV. Peter Banda.
V. Sadio Kanute atafutiwe mbadala(8)
VI. Sackho nae Atupishe.
4. WACHEZAJI WAZAWA NAPO NI SHIDA.
Changamoto ya umli.
Nyoni, Boko, mkude,
Viwango vidogo.
Kapama, Gadiel, Mwanuke,
MASHABIKI TUMECHOSHWA KUISHIA ROBO FAINALI.
TUNA HELA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA USAJILI.
HELA YA SUPER CUP 4 BILION.
HELA YA CAF. CAFCL 2 BILION
UONGOZI PUNGUZENI UBAHILI
ROBERTINO ASAJILI.
Tatizo Utopolo ni makocha,wachambuzi na wataalamu wa utabiri.Wachezaji hatuwadai chochote Wamejitahidi na penalti zimeamua.Kuhusu Inonga lazima wewe Utopolo uweweseke na kukubali uwezo wake.Alikutungua tarehe 16 April.Inonga ametimiza wajibu wake ndio maana ni beki bora Nchini.Huyu sio Uto mwenzangu Mkuu! Huyu lazima atakua dunduka, anaongea kwa uchungu mno.
Nabi huyo huyo aliyetolewa Champions league na kuangukia Losers Cup au mwingine?Nabi huyo huyo anayeburuzwa na Robertinho kila timu zao zikikutana?Nabi huyo huyo aliyezungumza kipare baada ya Debi kwa kutajiwa jina la Robertinho?Kocha huyu ni kweli alikisea sana. Kwanza alishindwa kujua kuwa baadhi ya wachezaji wake Wana umri mkubwa lakini aliruhusu wachezaji walewale wacheze mechi ya Ihefu, derby, Wydad mechi ya kwanza na Wydad mechi ya pili. Hizi ni mechi kubwa na ngumu zote kuwaacha wachezaji waaalewaaale wacheze dk 90. Pili alikubali kudanganywa kuwa kipa namba 2 hastahili kuweko kiwanjani na tatu kuamua kwenda kupaki basi kule Morocco. Alipaswa kuchezesha wachezaji kwa kuwapunzisha kama Nabi anavyofanya
Wydad wabovu tu Mkuu.Tatizo Utopolo ni makocha,wachambuzi na wataalamu wa utabiri.Wachezaji hatuwadai chochote Wamejitahidi na penalti zimeamua.Kuhusu Inonga lazima wewe Utopolo uweweseke na kukubali uwezo wake.Alikutungua tarehe 16 April.Inonga ametimiza wajibu wake ndio maana ni beki bora Nchini.
Eti Wydad wamepungua uwezo?
Hizi ni kauli dhaifu sana kutoka kwa mtu asiyekuwa makini. Hata kupiga na kudaka penati kuna kwata (drill) yake wakati wa mazoezi uwanjani. Ni mtu wa hovyo kabisa anaefurahia kushindwa kwa njia ya penati. Kwani hiyo bahati isiwaangukie Simba iende kwa Wydad ambao wapigaji wao wote walifunga na kipa wao kudaka penati mbili? Unahalalisha uzembe utumike kuficha ukweli. Kupiga penati na kudaka penati kunahitaji ufundi pia sio bahati peke yake inayoamua penati. Yaani Simba kuishia robo finali mara 4 unasema ni kwa bahati mbaya tu, Simba tuna matatizo makubwa sana ambayo yanaigharimu timu. Kocha Robatihno analazimika kutumia wachezaji haohao kila mechi kwa dk 90 kwasababu walioko kwenye benchi ni malonyalonya tu, haoni ni nani anaweza kumuingiza kuchukua nafasi ya Onyango hata kama Onyango hafanyi vizuri, haoni mbadala wa Baleke, chama, saido, shabalala, kapombe, inonga, Kibu wala Mzamiru hata kama kama wawe wamepewa kadi ya njano, wameumia, wamechoka au wameamkaa vibaya siku hiyo. Lazima wanasimba wote wapaze sauti kuuanika ukweli huu kwa wafanya maamuzi., Simba ni mbovu sana hata hapo ilipofika ni kwahisani ya Vipers, Big Bullets, de agosto. Horoya na Wydad mbovu msimu huu. Uchochoro wa simba treet inawezekana umepatikana kwa bahatibahati tu au kwa njia ya mchongo fulani.Tatizo Utopolo ni makocha,wachambuzi na wataalamu wa utabiri.Wachezaji hatuwadai chochote Wamejitahidi na penalti zimeamua.Kuhusu Inonga lazima wewe Utopolo uweweseke na kukubali uwezo wake.Alikutungua tarehe 16 April.Inonga ametimiza wajibu wake ndio maana ni beki bora Nchini.
Eti Wydad wamepungua uwezo?
Simba bado iko kwenye uendeshaji wa aina ileile ya zama za akina Gulamali za kuagiza bure bila ushuru makontena 5 ya tv na kuwapa wachezaji tv 25 tu kama zawadi ya kutwaa ubingwa.Lawama atupiwee kocha na kina mgundaa. Simba ilistahiki kwenda next ¹ step Ila wakakwamishwa na chama na kipa
Wewe mbona unaumia kuliko hata wanasimba?Au Haji Manara in disguise?Hizi ni kauli dhaifu sana kutoka kwa mtu asiyekuwa makini. Hata kupiga na kudaka penati kuna kwata (drill) yake wakati wa mazoezi uwanjani. Ni mtu wa hovyo kabisa anaefurahia kushindwa kwa njia ya penati. Kwani hiyo bahati isiwaangukie Simba iende kwa Wydad ambao wapigaji wao wote walifunga na kipa wao kudaka penati mbili? Unahalalisha uzembe utumike kuficha ukweli. Kupiga penati na kudaka penati kunahitaji ufundi pia sio bahati peke yake inayoamua penati. Yaani Simba kuishia robo finali mara 4 unasema ni kwa bahati mbaya tu, Simba tuna matatizo makubwa sana ambayo yanaigharimu timu. Kocha Robatihno analazimika kutumia wachezaji haohao kila mechi kwa dk 90 kwasababu walioko kwenye benchi ni malonyalonya tu, haoni ni nani anaweza kumuingiza kuchukua nafasi ya Onyango hata kama Onyango hafanyi vizuri, haoni mbadala wa Baleke, chama, saido, shabalala, kapombe, inonga, Kibu wala Mzamiru hata kama kama wawe wamepewa kadi ya njano, wameumia, wamechoka au wameamkaa vibaya siku hiyo. Lazima wanasimba wote wapaze sauti kuuanika ukweli huu kwa wafanya maamuzi., Simba ni mbovu sana hata hapo ilipofika ni kwahisani ya Vipers, Big Bullets, de agosto. Horoya na Wydad mbovu msimu huu. Uchochoro wa simba treet inawezekana umepatikana kwa bahatibahati tu au kwa njia ya mchongo fulani.
Msimu ukiisha Inonga ni Mwananchi.Wydad imeshuka kiwango, hasa baada ya kuondokewa na wachezaji wake muhimu wa msimu uliopita. Simba wangeweza kufika nusu final kwa kupitia Wydad msimu huu kama sio ujinga wa bench la ufundi, uongozi wa Simba, Chama na Ally Salim.
Wydad waliokolewa na golikipa wao kudaka mikwaju 2 iliyopigwa vizuri na kapo Kapombe na Chama kitu ambacho Ally Salim hakuweza kukifanya kutokana na uchanga wake golini.
Uongozi wa Simba na bench la ufundi kuacha kumtumia Beno Kakolanya kwasababu za kijinga, kipuuzi, kibwege, unsporting na kichawi kukaa langoni kudaka penati na kumuamini kijana kinda kulisababisha Simba kuingia hasara kubwa sana ya kutolewa mashindanoni na timu dhaifu ya Wydad, Ningekuwa mimi ni mo ningemsaka aliyesema Beno kipa namba 2 asikae golini kwenye mashindano haya makubwa baada ya Manula kuumia.
Chama na Kapombe hawakuwa makini na kazi Yao pia ingawa penati huwa hazina mwenyewe lakini "why us" every day tutolewe robo final?
Bench la ufundi lilipaswa kumwingiza Beno kudaka japo penati TU badala ya mtoto Ally ambae aliteseka sana kujirusha chini kwa namna ileile kwa penalti zote.
Swali ni je, Simba itakuwa na ubavu wa kumzuia Inonga abaki Simba? Inonga pekee ndiye aliyepunguza idadi ya magoli siku Ile.
Wydad imeshuka kiwango, hasa baada ya kuondokewa na wachezaji wake muhimu wa msimu uliopita. Simba wangeweza kufika nusu final kwa kupitia Wydad msimu huu kama sio ujinga wa bench la ufundi, uongozi wa Simba, Chama na Ally Salim.
Wydad waliokolewa na golikipa wao kudaka mikwaju 2 iliyopigwa vizuri na kapo Kapombe na Chama kitu ambacho Ally Salim hakuweza kukifanya kutokana na uchanga wake golini.
Uongozi wa Simba na bench la ufundi kuacha kumtumia Beno Kakolanya kwasababu za kijinga, kipuuzi, kibwege, unsporting na kichawi kukaa langoni kudaka penati na kumuamini kijana kinda kulisababisha Simba kuingia hasara kubwa sana ya kutolewa mashindanoni na timu dhaifu ya Wydad, Ningekuwa mimi ni mo ningemsaka aliyesema Beno kipa namba 2 asikae golini kwenye mashindano haya makubwa baada ya Manula kuumia.
Chama na Kapombe hawakuwa makini na kazi Yao pia ingawa penati huwa hazina mwenyewe lakini "why us" every day tutolewe robo final?
Bench la ufundi lilipaswa kumwingiza Beno kudaka japo penati TU badala ya mtoto Ally ambae aliteseka sana kujirusha chini kwa namna ileile kwa penalti zote.
Swali ni je, Simba itakuwa na ubavu wa kumzuia Inonga abaki Simba? Inonga pekee ndiye aliyepunguza idadi ya magoli siku Ile.
Endelea kuota.Angalia usijinyee.Amewatungua na ni beki bora sana hivyo endeleeni kuweweseka.Msimu ukiisha Inonga ni Mwananchi.