Chama na Mkude walifanya kazi Simba mafao wanaenda kulipwa na Yanga

Chama na Mkude walifanya kazi Simba mafao wanaenda kulipwa na Yanga

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Hii kitu inafikirisha sana🄲

Kazi ufanye na kampuni X

Mafao ulipwe na kampuni Y
 
Ninachojua ni kuwa Mkude alipopewa namba dhidi ya Mamelodi wakati Aucho ni injury, aliitumikia namba ile kwa ufanisi sana mpaka Mamelodi wakafyata mkia mbele yake
 
Msimu ujao tunataka kumlipa na Zimbwe jiandaeni kabisa hii inaenda consecutively 5yrs in a row
Kama Manula ni kipa number 5
Kapombe ameshapokwa namva na kijili,huyo Zimbwe chukueni tu apate kiinua mgongo chake
 
simba wamegeuka bendi ya muziki kila siku wimbo mpya .
 
Back
Top Bottom