Chama na Onyango Watafute Timu, Msimu Ujao Hatuwataki

Kuna wachezaji Klabuni kwetu wana mikosi. Onyango ndio kila akipewa pasi mapigo ya moyo yanakimbia mithili treni ya SGR.

Onyango ataendelea kutu-cost kwenye mechi kubwa siku zote mpaka pale atakapo fariki.

Yes tunampenda Chama ila tukubali ukweli kuwa dogo hamfikii mchezaji kiungo wa Utopolo (Aziz Ki). Aziz anafunga bao la kuwapeleka Uto robo, huku Chama anakosa penati.

Tutafute namba 10 mwingine, ikiwezekana tumvute Feisal Salum.

Hata hivyo, licha ya kukosa penati jamaa ni mzito sana, hata ukimbiaji wake wakati wa kaunta ataki ni kama ana majipu kwapani.

Boss MO avunje benki msimu ujao aondoe hawa.
Wewe ndo utopolo kamili. Tumfukuze halafu mumchukue?

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wachezaji Klabuni kwetu wana mikosi. Onyango ndio kila akipewa pasi mapigo ya moyo yanakimbia mithili treni ya SGR.

Onyango ataendelea kutu-cost kwenye mechi kubwa siku zote mpaka pale atakapo fariki.

Yes tunampenda Chama ila tukubali ukweli kuwa dogo hamfikii mchezaji kiungo wa Utopolo (Aziz Ki). Aziz anafunga bao la kuwapeleka Uto robo, huku Chama anakosa penati.

Tutafute namba 10 mwingine, ikiwezekana tumvute Feisal Salum.

Hata hivyo, licha ya kukosa penati jamaa ni mzito sana, hata ukimbiaji wake wakati wa kaunta ataki ni kama ana majipu kwapani.

Boss MO avunje benki msimu ujao aondoe hawa.
Kukosa penati huwa ipo tu musee.., wanakosa Nguli wa soka kina Mesi, Ronaldo, Mane sembuse Chama na Kapombe., huo ndio mpira masee
 
Kuna wachezaji Klabuni kwetu wana mikosi. Onyango ndio kila akipewa pasi mapigo ya moyo yanakimbia mithili treni ya SGR.

Onyango ataendelea kutu-cost kwenye mechi kubwa siku zote mpaka pale atakapo fariki.

Yes tunampenda Chama ila tukubali ukweli kuwa dogo hamfikii mchezaji kiungo wa Utopolo (Aziz Ki). Aziz anafunga bao la kuwapeleka Uto robo, huku Chama anakosa penati.

Tutafute namba 10 mwingine, ikiwezekana tumvute Feisal Salum.

Hata hivyo, licha ya kukosa penati jamaa ni mzito sana, hata ukimbiaji wake wakati wa kaunta ataki ni kama ana majipu kwapani.

Boss MO avunje benki msimu ujao aondoe hawa.
Usiivuruge timu yetu!!
 
Labda ww ndo huwataki ila sisi Simba tunao sanaaaaa na watabaki sanaaaa
 
Back
Top Bottom