Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafikiria yeye ndiye anatoa pesa za usajili na kuwalipa mishaharaWe na nani hamuwataki.?
Wewe ndo utopolo kamili. Tumfukuze halafu mumchukue?Kuna wachezaji Klabuni kwetu wana mikosi. Onyango ndio kila akipewa pasi mapigo ya moyo yanakimbia mithili treni ya SGR.
Onyango ataendelea kutu-cost kwenye mechi kubwa siku zote mpaka pale atakapo fariki.
Yes tunampenda Chama ila tukubali ukweli kuwa dogo hamfikii mchezaji kiungo wa Utopolo (Aziz Ki). Aziz anafunga bao la kuwapeleka Uto robo, huku Chama anakosa penati.
Tutafute namba 10 mwingine, ikiwezekana tumvute Feisal Salum.
Hata hivyo, licha ya kukosa penati jamaa ni mzito sana, hata ukimbiaji wake wakati wa kaunta ataki ni kama ana majipu kwapani.
Boss MO avunje benki msimu ujao aondoe hawa.
Kukosa penati huwa ipo tu musee.., wanakosa Nguli wa soka kina Mesi, Ronaldo, Mane sembuse Chama na Kapombe., huo ndio mpira maseeKuna wachezaji Klabuni kwetu wana mikosi. Onyango ndio kila akipewa pasi mapigo ya moyo yanakimbia mithili treni ya SGR.
Onyango ataendelea kutu-cost kwenye mechi kubwa siku zote mpaka pale atakapo fariki.
Yes tunampenda Chama ila tukubali ukweli kuwa dogo hamfikii mchezaji kiungo wa Utopolo (Aziz Ki). Aziz anafunga bao la kuwapeleka Uto robo, huku Chama anakosa penati.
Tutafute namba 10 mwingine, ikiwezekana tumvute Feisal Salum.
Hata hivyo, licha ya kukosa penati jamaa ni mzito sana, hata ukimbiaji wake wakati wa kaunta ataki ni kama ana majipu kwapani.
Boss MO avunje benki msimu ujao aondoe hawa.
Wenye akili kule kwao wako 2 tu,imagineUtafikiria yeye ndiye anatoa pesa za usajili na kuwalipa mishahara
Usiivuruge timu yetu!!Kuna wachezaji Klabuni kwetu wana mikosi. Onyango ndio kila akipewa pasi mapigo ya moyo yanakimbia mithili treni ya SGR.