technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
- Thread starter
-
- #41
pumbavu Sana Nyerere hakuwa na elimu, Mwinyi hakuwa na elimu
Timu ya taifa tu yenyewe namba hanaKwahiyo chama ni wakawaida sana?fei toto akomae akacheze nje ya tz tuone huko
Nimecheka ..eti ulimwengu shujaaa..daahchama baba
Leo akitoka huko anakuwa genius lakini kwa sasa hana tofauti na chokoraa tu ambaye hajui hata mlango wa darasa ukoje. Kule kwenye majukwaa mengine ni nguli wa mijadala lakini akishaingia humu na uyanga wake ni kilaza mtukuka.Uyanga unakutesa
Refer Dabi za dsm au Simba vs Tp Mazembe au Game ya Simba na Kaiza au pirates alipoteana kabisa .
Berkane tu alikosa hata namba ya kuingia kipindi Cha piliKiungo mwenye spidi ya konoko kwenye vi game vya mchongo utafutahi na shoo zake. Njoo kwenye game taff, Hans pope alisema atampiga na gongo na uchezaji wake wa mchongo.
Wewe ni kigagulaHao wote wanaokubishia ni Wachawi square tena kutoka katika familia zao
Nimeipenda hii
Karia alikuwa sahihi kabisa kuwaambia utopolo vinyesiKiungo mwenye spidi ya konoko kwenye vi game vya mchongo utafutahi na shoo zake. Njoo kwenye game taff, Hans pope alisema atampiga na gongo na uchezaji wake wa mchongo.
Chama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso na vijitimu kutoka Malawi na Zambia
Ukimleta kwenye game kubwa za njoo nije anapoteana kabisa.
Refer Dabi za dsm au Simba vs Tp Mazembe au Game ya Simba na Kaiza au pirates alipoteana kabisa .
Halafu wanamuita kiungo Bora wa Tanzania kwa game za wakina Mbeya kwanza na Dodoma jiji.
Kwangu mm kiungo Bora kwa Sasa ligi kuu ya Tanzania ni Fei Toto.
Ikibisha bisha Ila ndio ukweli. Povu lukusa kutoka kwa mbumbumbu fc[emoji2957]
Saf sana tatizo tunaendekeza ushabiki mandazi tunapenda mpira hatupend sokA1 chama aliyefunga bonge moja la goli kweny game na kaizer chief pale taifa
2 chama aliyewatesa FC platinum pale taifa kweny mech ya mtoano wa ligi ya mabigwa
3 chama.aliye wagalagaza mabeki wa as vital pale.kwa mkapa kweny game ya ligi
Ya mabigwa
4 chama aliyefunga bonge moja la goli kweny mech dhidi ya nkana pale taifa Simba akaenda kweny makundi ya ligi ya mabigwa
5 chama aliyefunga goli la ushindi kweny mechi na As vital pale taifa Simba akaenda kucheza robo fainali ya ligi ya mabigwa Kwa mara ya kwanza
Ulisema ukweli mtupu.Chama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso na vijitimu kutoka Malawi na Zambia
Ukimleta kwenye game kubwa za njoo nije anapoteana kabisa.
Refer Dabi za dsm au Simba vs Tp Mazembe au Game ya Simba na Kaiza au pirates alipoteana kabisa .
Halafu wanamuita kiungo Bora wa Tanzania kwa game za wakina Mbeya kwanza na Dodoma jiji.
Kwangu mm kiungo Bora kwa Sasa ligi kuu ya Tanzania ni Fei Toto.
Ikibisha bisha Ila ndio ukweli. Povu lukusa kutoka kwa mbumbumbu fc🤪
Chama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso
Kwa hiyo Fei toto kacheza mechi zip ngumu? taja Tatu Tu, Af chama hakucheza Simba Vs Orlando maana hakua na sifaChama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso na vijitimu kutoka Malawi na Zambia