Chama ni mchezaji wa kuigwa mpaka na wachezaji wenzake

NaUnga mkono hoja 👍
 
Saido si mbadala wake kwa mujibu ya wenye timu yao.
 
Mtaje mchezaji wa timu yako anaendana na soka unaloita la kisasa....

Kama Chama haendani na soka la kisasa kwanini aitwe timu ya taifa?

Ni timu (Ngazi ya vilabu Africa) zipi unazozijua wewe zinacheza soka la kisasa kwa mifano ili tukuelewe vizuri?
 
CHAMA BABA YAO.


MABAO mawili aliyofunga dhidi ya Power Dynamos huko Zambia, yamemfanya Clatous Chama azidi kuinyemelea rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Ligi ya Mabingwa Afrika inayoshikiliwa na nyota za zamani wa TP Mazembe na DR Congo, Tresor Mputu.

Kwa kufunga katika mchezo huo uliochezwa Jumamosi iliyopita katika Uwanja wa Levy Mwanawasa jijini Ndola, Chama sasa amefikisha idadi ya mabao 20 ambayo amepachika katika mashindano hayo, akidaiwa mabao 19 ili aifikie rekodi ya Mputu na mabao 20 ili aivunje kabisa.

Chama ambaye alikuwa anashika nafasi ya 11, katika chati ya wafungaji bora wa muda wote wa mashindano hayo, kwa
 
Anavizia baadhi ya timu no consistency.
 
Magoli ya michuano ya CAF haya hesabiwi kwenye hizi stage za elimination huku hata ukifunga magoli mia hayana record
 
Hivi hao makocha wa kisasa hawataki assist na magoli? Uchambuzi gani huu wa ajabu. Unataka kubiambia Endrew Pilo na Babatov wangekuwa wanacheza hadi leo wangewekwa benchi na Rashford na Mctominey?
 
Kwanini haunaga akili? hili swala si usha pewa maelezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…