Tetesi: Chama tawala na Upinzani kukumbwa na mtikisiko, mapya kuibuka

Kwa namna alivyoendesha zoezi la kujitangaza na kuomba uungwaji mkono mwaka 2015, sio MTU wa kubeza, ni moja ya vijana walioonyesha uwezo wa juu na "kisasa" zaidi. Yale mabasi, technology nk. Si MTU wa kubeza. Ingawa hapa naona umetumia hisia zako na kumtengezea story kijana marope
 
Ni mwanasiasa ambaye anaonekana kuwa na uungwaji mkono nje na ndani ya Chama tawala, ni kwamba huyu ni kiongozi mkubwa ndani ya serikali ya awamu hii na iliyopita. Analo kundi kubwa la vijana na wasomi wengi nyuma yake, anapata uungwaji mkono na moja ya familia ya kiongozi Mkubwa mustaafu wa taifa letu na anaweza kuungana nae kuunganisha nguvu kua kitu kimoja na kuanza harakati zao mpya za kisiasa.

Ataondoka ndani ya Chama tawala na kundi lake na kuanzisha chama kipya cha siasa, sababu ya kuondoka ndani ya Chama tawala kulalamikia uminywaji wa demokrasia na kunyimwa Uhuru wa maoni ndani ya Chama.Haridhishwi kabisa uendeshwaji wa chama na kutokukubaluana na utaratibu wa uendeshwaji huo. Anaamini kua kwa uendeshwaji huu wa sasa huenda skakosa fursa ya kutimiza ndoto zake.

Anaondoka na vijana wengi ndani ya chama tawala alipo hivi sasa na kuna uwezekano wa kuungwa mkono na vijana wengine wengi kutoka upinzani ambao wanahisi kua huenda ndiye mwenye mtizamo mpya wa siasa za Tanzania, anaamini kua vijana ndio watakaompa nguvu kukikuza chama chake na kukisambaza katika maeneo mbalimbali nchini. Pia kuna uwezekano Mkubwa wa viongozi wengi ambao wamo ndani ya serikali ya sasa baadae wakamuunga mkono na kuunganisha nguvu ya pamoja.

Kabla ya 2020 anaweza kuungana na nyama vingine vikuu vya upinzani ili kutengenze nguvu ya pamoja kuingia magogoni kwa sanduku la kura.Mpaka sasa inasemekana kuwa anayo mahusiano mazuri na baadhi ya viongozi wakuu wa vyama vya upinzani ingawa yeye bado yuko Chama tawala.
Wanasema mwanaume wa kweli akimbii vita, kama ameona kuna shida ndani ya chama chake anatakiwa apambane kuitatua, inamaana kule anakotaka kukimbilia ni chama kitakachokuwa kinaongozwa na malaika na wafuasi wake watakuwa mitume wa Mungu? laah hasha atawakuta watu wale wale aliowakimbia pia na kule wapo sasa atakimbilia wapi?
 
Kama sio fisadi sawa hata Mimi nitaunganisha nguvu..........

Ila kama ni mwizi hapana credible yangu ya kwanza ni Ufisadi...............

Mkuu, siku za hivi karibuni umeanza kuwa great thinker. Akili zimeanza kukurudia?
 
Kama JM ana mawazo kama hayo ayafute kabisa!! Tena asijaribu mkono wa chuma utamharibu na kumpoteza!!! Aachane kabisa!!! Hata kama anaungwa mkono na chama au wazee wa chama awe makini asijaribu!!
 
Apo mwisho ndio umehalibu kabisa AUNGANE NA VYAMA VINGINE VYA UPINZANI hahaha kwa akili kama hizi kwann sisiemu isishinde EL aliwadanganya hivyohivyo eti anakuja na wabunge hamsini sisiemu hata aonfoke nani hawamtegemei mtu
Hapa ndo huwa nawapenda ccm yaani mnajiaminisha mnapendwa sana ila mkiambiwa muweke tume huru mnakuwa wakali 😀😀😀😀😀
 
Apo mwisho ndio umehalibu kabisa AUNGANE NA VYAMA VINGINE VYA UPINZANI hahaha kwa akili kama hizi kwann sisiemu isishinde EL aliwadanganya hivyohivyo eti anakuja na wabunge hamsini sisiemu hata aonfoke nani hawamtegemei mtu

Mnategemea dola na tume isiyo huru ya uchaguzi.
 
Watajiudhulu wengi tuu, mwanzo ndio ulikua mgumu
 
Vijana wa lumumba kwa utabiri na majungu nawapongeza sana kwa hilo nimefanikiwa sana.
Huyo mtu usikute ni Wassira!
Hivi huwa mna shida gani? Umeambiwa ni waziri katika serikali iliyopita na serikali hii mpya
 
Ni mwanasiasa ambaye anaonekana kuwa na uungwaji mkono nje na ndani ya Chama tawala, ni kwamba huyu ni kiongozi mkubwa ndani ya serikali ya awamu hii na iliyopita. Analo kundi kubwa la vijana na wasomi wengi nyuma yake, anapata uungwaji mkono na moja ya familia ya kiongozi Mkubwa mustaafu wa taifa letu na anaweza kuungana nae kuunganisha nguvu kua kitu kimoja na kuanza harakati zao mpya za kisiasa.

Ataondoka ndani ya Chama tawala na kundi lake na kuanzisha chama kipya cha siasa, sababu ya kuondoka ndani ya Chama tawala kulalamikia uminywaji wa demokrasia na kunyimwa Uhuru wa maoni ndani ya Chama.Haridhishwi kabisa uendeshwaji wa chama na kutokukubaluana na utaratibu wa uendeshwaji huo. Anaamini kua kwa uendeshwaji huu wa sasa huenda skakosa fursa ya kutimiza ndoto zake.

Anaondoka na vijana wengi ndani ya chama tawala alipo hivi sasa na kuna uwezekano wa kuungwa mkono na vijana wengine wengi kutoka upinzani ambao wanahisi kua huenda ndiye mwenye mtizamo mpya wa siasa za Tanzania, anaamini kua vijana ndio watakaompa nguvu kukikuza chama chake na kukisambaza katika maeneo mbalimbali nchini. Pia kuna uwezekano Mkubwa wa viongozi wengi ambao wamo ndani ya serikali ya sasa baadae wakamuunga mkono na kuunganisha nguvu ya pamoja.

Kabla ya 2020 anaweza kuungana na nyama vingine vikuu vya upinzani ili kutengenze nguvu ya pamoja kuingia magogoni kwa sanduku la kura.Mpaka sasa inasemekana kuwa anayo mahusiano mazuri na baadhi ya viongozi wakuu wa vyama vya upinzani ingawa yeye bado yuko Chama tawala.

Bavicha bana, akili zenu mwazijua wenyewe tu. Hata Lowassa mlidanganywa hivi hivi, mara anakuja na wabunge na mawaziri na wenyeviti wa chama....mkapigwa kama mmesimama na CCM inaendelea kudunda!

Juzi tu mmepigwa kwenye chaguzi za marudio na bado hamuoni kama mna tatizo. Kwa mtaji huu na akilize nu hizi na saisa zenu za kitapeli CCM itatawala mpaka ichoke yenyewe.
 
HALAFU MNASEMA KUNA NJAA! INAONEKANA KABISA MWANDIKA UZI HUU KAVIMBIWA NA MAHARAGE YA MCHANA, KWA UTAWALA HUU NANI ANAWEZA KUFANYA UKICHAA HUO? HUO UWANJA WA SIASA ATAUPATIA WAPI? MIKUTANO ATAIFANYIA NCHI GANI? NI KICHAA TU ANAEWEZA KUKUBALIANA NA KUVIMBIWA KWA HUYU BWANA.
 
Katika hilo la makaburi yasiyofukuliwa wengi wanadhani ni kuhusu walioko nje ya system kumbe sio. Ni wazi kuwa ukifukua hayo makaburi waweza kukuta roho ya mfukuaji iko huko ingawa mwili tunao huku duniani. Mfukuaji hata kama angekuwa kichaa hilo analijua na hawezi kulifanya kamwe

Kamanda vipi UKUTA, michango ya Bukoba, Lema, Saanane, Njaa na sasa sijui mnasimamia nini? Au kwa sasa sera yenu ni DC wa Uyuwi?
 
Nafikiri vijana wa chama tawala wanafanya preemptive strike.
 
Kamanda vipi UKUTA, michango ya Bukoba, Lema, Saanane, Njaa na sasa sijui mnasimamia nini? Au kwa sasa sera yenu ni DC wa Uyuwi?
Kwani wewe ulivyo kwenda kutahiriwa ajenda hiyo ndio unayo mpaka Leo? Kutahiriwa! Kutahiriwa! huna lingine wakati Dunia inasonga?
Ndio maana Faiza anawauliza Shule mlikuwa mnasomea ujinga? Maana ujinga kwenu kimekuwa kipaji
 
Apo mwisho ndio umehalibu kabisa AUNGANE NA VYAMA VINGINE VYA UPINZANI hahaha kwa akili kama hizi kwann sisiemu isishinde EL aliwadanganya hivyohivyo eti anakuja na wabunge hamsini sisiemu hata aonfoke nani hawamtegemei mtu
Wacha ujinga hii mada. Hipo na nimebiwa na. Watu. Wa maana. Sio lazma kila kitu uchangie.
 
Back
Top Bottom