Tetesi: Chama tawala na Upinzani kukumbwa na mtikisiko, mapya kuibuka

Malofa na wapumbavu hawataisha
 
Hivi hijiulizi ni kwanini mtu maendika haya? Hata jukuilizi kunani? Mmezoea kutukana subiri majibu yatakuwepo humu ni suala la muda tu. Hizi thread zitafufuliwa muda ukifikia
 
Mimi nikishasikia "watamfuata baadaye" huwa naondoka. Nitarudi baadaye. Hayati Sitta aliahidi wengi kuwa waondoke yeye atawafuata baadaye. Sasa wao ndio watamfuata baadaye.
Mkuu umeona mbali sana! Hayo yananikumbusha ya lowasa na ahadi za kuondoka na wabunge kadhaa toka ccm kwenda Chadema! Wenyeviti wa mikoa na wafuasi lukuki, akaja kujikuta mwenyewe!
 
Umemaliza mkuu. Roho ya mfukua makaburi iko huko huko kaburini ila mwili tunao huku duniani
 
Kamanda vipi UKUTA, michango ya Bukoba, Lema, Saanane, Njaa na sasa sijui mnasimamia nini? Au kwa sasa sera yenu ni DC wa Uyuwi?
J ibambasi unasifia wizi wa michango ya bukoba kweli. Unatakiwa ukatibiwe na dr ibambas
 
UWONGO
 
Kwani wewe ulivyo kwenda kutahiriwa ajenda hiyo ndio unayo mpaka Leo? Kutahiriwa! Kutahiriwa! huna lingine wakati Dunia inasonga?
Ndio maana Faiza anawauliza Shule mlikuwa mnasomea ujinga? Maana ujinga kwenu kimekuwa kipaji
Mkuu chakaza huyu jamaa anaonekana anapata akili wakati wa mwandamo wa mwezi yaani hajui kama kila kuchao kuna jambo linatokea duniani. Yeye anataka tukariri kama akili yake ilivyo.
 
Hii ni janja ya kugawana kura za upimzani 2020
 
Mkuu usipende kumtukana hovyo mshamba wewe! Nikushauri tu weka maneno ya akiba usihemke kipuuzi.
Kajana nakwamba hivi...."Malofa na wapumbavu" wapo wengi tu na hutumika kuvuga ajenda za upinzani
 
tunausubiria kwa hamu ili tuwe makatibu huku mikoani.
paaaaaah.
 
Hivi hijiulizi ni kwanini mtu maendika haya? Hata jukuilizi kunani? Mmezoea kutukana subiri majibu yatakuwepo humu ni suala la muda tu. Hizi thread zitafufuliwa muda ukifikia
Membe hana jeuri hiyo. Kama ni kweli na ajaribu aone.Ni nani alikuwa na nguvu kama Lowassa?
 
Unasema ccm au polisi itatawala kwa mabomu na virungu mpaka wachoke!
 
Aungane na wapinzani ili atimize ndoto zake za kuingia ikulu 2020? Hao wapinzani ni pamoja na Lowassa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…