Tetesi: Chama tawala na Upinzani kukumbwa na mtikisiko, mapya kuibuka

Mtu Au Chama Kinachoweza Kuitisha CCM Ni Kile Chenye Ushawishi JESHINI. Kama Huna Ushawishi Jeshini Hata Kama Wewe Ni Nani Utapigwa Tu Na Hakuna Utakachofanya Na Watakupoteza
 
Labda kama anatume huru ya uchaguzi tofauti na hivyo bora aache tu siasa
 
Kama JM ana mawazo kama hayo ayafute kabisa!! Tena asijaribu mkono wa chuma utamharibu na kumpoteza!!! Aachane kabisa!!! Hata kama anaungwa mkono na chama au wazee wa chama awe makini asijaribu!!
Wazee wakishakuruhusu ndio kila kitu,hao ndio wanajua nchi inavoenda
 
awe Membe awe Makamba....watapotea ndani ya wiki mbili tu. hakuna kiongoz yoyote atakae itikisa CCM kama alivyo fanya Mh Lowassa mwana siasa mwenye mvuto na nguvu kuwai kutokea katika aridhi ya Tanzania.
 
Wazee wakishakuruhusu ndio kila kitu,hao ndio wanajua nchi inavoenda
Hayaa ila alie shika mpini ana visasi dunia nzima hakuna!! Msije mkasababisha Aishi uhamishoni miaka 5 ya mwisho.....na mpenda sifa akakomaaa akagoma kutoka
 
Huwezi kujidai kushinda wakati umewafunga wapinzani midomo mikono na miguu. Bulies.
 
as long as anatoka ccm atakuwa fisadi tuu, huyo atakuwa km mzee wa mafuriko tu hana jipya
 
Anajidanganya, mazingira hayaruhusu uwezo wake (kama anao) kufanikisha malengo yake, kwanza hako kachama kake wala hakatasajiliwa baada ya miezi sita, labda angehamia chama kilicho na usajili kamili ingawa hata hivyo mazingira hayatamruhusu kutokelezea.Abaki alipo huku akipigania hicho anachokiona hakiendi sawa sawa ili kiende sawa sawa kwani kwa hapa kwetu ni rahisi kuleta mabadiliko ya mifumo ya kiutawala na uendeshaji ukiwa katika chama alichopo kuliko ukiwa nje.ndio maana wale waliohalalisha sheria na taratibu alizopendekeza nyalali wakati waTume ya mfumo wa vyama vingi kwamba haziendani na mfumo wa vyama vingi, walipobadili vyama wamejikuta katika shida kubwa ya kufanya siasa ukiwa nje ya chama kinacho tawala. shimo walilochimba wameingia weeenyeweeee. Hapa naona lazima ile kwake tu.
 
Hata yule wa UDA Tumeamua kumsamehe maana ni wa kutoka kanda ya ziwa na mwenzetu kiitikadi.Makaburi ayochimbwa ni kwa ajili ya kaskazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…