Chama Triple C awataka Yanga kuacha uzushi

Niyonzima zengwe kwanza anawadai mpaka leo..taja Dilunga atamuweka nani benchi..mchezaji wa mechi ndogo
Timu ambazo hazidaiwi ni Simba na Azam msipolipa madeni mnaweza msipewe leseni ya kushiriki ligi hii ni kwa mujibu wa bodi ya ligi.
 
Shadeeya yanga wenzangu tusidanganyane kama na sisi tunataka tuwe na CHAMA basi twendeni .tukajiunge chama tawala
Simba inatumia milioni 230 kwa mwezi kwa ajili ya mishahara. Maana yake, inatumia bilioni 5 kwa mwaka kwa ajili ya mishahara ya wafanyakazi na wachezaji kwa miaka miwili.
Sasa kama mchezaji mmoja anatumia 10% ya wage bill (hapo nimeweka asigning fee ya milioni 500). Je, hao wafanyakazi, including coach na CEO wanalipwa kiasi gani kwa mwezi?
Acheni uongo chama hana contract ya 800m/-.
 
Kweli simba imewaacha watani zao mbali wakati GSM wanataka kuweka dollar laki moja kwa miezi 6 ,wenzao wanalipa dollar laki mwezi mmoja ,sasa wanaweza vipi kusajiri mchezaji wa simba si atageuka ombaomba
 
Mkuu, issue hii so nyepesi.

Huenda Mwakakebela alidhani Chama ana miezi sita tu au chini ya hapo.

Upo uwezekano mazungumzo yalikuwepo. Maadam Chama hakushitaki yeye, ikibainika ni kweli aliongea na David, basi kufungiwa miezi sita kunamhusu. He Chama au Simba watakubali hilo?

Mwishowe, hii kesi ya David inaweza kuyeyuka kama barafu.
 
Kweli simba imewaacha watani zao mbali wakati GSM wanataka kuweka dollar laki moja kwa miezi 6 ,wenzao wanalipa dollar laki mwezi mmoja ,sasa wanaweza vipi kusajiri mchezaji wa simba si atageuka ombaomba
Hizo dollar laki moja kwa mwezi ni pamoja na Sportspesa, Azam, Mo Halisi. Yanga cwana SPORTSPESA, Azam, Taifa Gas, na GSM.
Mbali ya mkataba, GSM wanasajili na kulipia usafiri. Kwa hiyo usijidaganye hizi klabu zote bado masikini na chama contract yake kimahesabu siyo milioni 800.
 
Sijaongelea chama mkataba wake unathamani gani nnacho sema Msemaji wa yanga kaweka wazi GSM watatoa dollar laki moja kwa miezi sita wakiwa kwenye transition mchakato .
 
Sijaongelea chama mkataba wake unathamani gani nnacho sema Msemaji wa yanga kaweka wazi GSM watatoa dollar laki moja kwa miezi sita wakiwa kwenye transition mchakato .

Hizo ni kwa ajili ya mabadiliko phase 1 ya miezi 6 sio uendeshaji wa Club
 
Hii taarifa sio sahihi, mwezi wa nane mwaka jana aliongeza miaka miwili, hata kuitumia bado hajaanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wewe unaamini kila unachosikia kwa hawa viongozi Wa timu zetu kubwa hapa? Kalagabaho, kuna siku utaja utukane matusi yote unayoyajua na usitosheke!
 
Hao Yanga wanajifariji tuuu mnaowajibu ndio mnawapa kichwa wapotezeeeni mazima. Istoshe kwa Viungo waliopo Simba hata akiondoka Chama siioni shida. Simba nguvu Moja Daima.
Naona taratiiiibuuuu unaanza kunyoosha mikono hewani
 
Ajibu alikuwa nyota yanga kaja Simba benchi, nyonzima tulimwacha Sasa hivi ndiyo nyota kwenu kama Dilunga anamweka Ajibu benchi ndiyo akose namba Yanga.
Ninyi hamjuagi kutumia wachezaji na si kwamba sijui ukosefu Wa namba!
 
Chama kiukweli si hitaji la Yanga inayohitaji kuwa bora. Tujiulize akija pale Yanga hivi ni nani Wa kumpisha chama ktk namba anayocheza na wachezaji tulionao. Kifupi sioni Wa kuwekwa benchi Na chama pale. Sisi tunahitaji beki bora namba 3, beki Wa kati mmoja mwili nyumba ila mwepesi na maarifa, winga matata Wa upande Wa kulia, mshambuliaji hatari namba Tisa na ikimpendeza mwalimu aongezwe kiungo mkabaji mwenye nguvu na maarifa
 
Timu ambazo hazidaiwi ni Simba na Azam msipolipa madeni mnaweza msipewe leseni ya kushiriki ligi hii ni kwa mujibu wa bodi ya ligi.
Hawana ubavu Wa kufanya hivyo mana Yanga ndiyo timu kubwa kuliko zote na inafuatia Mkia. Hata Leo Yanga wakisema hawataki kushiriki ligi tff watatembea kwa magoti hadi zilipo ofisi za Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…