rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Timu ambazo hazidaiwi ni Simba na Azam msipolipa madeni mnaweza msipewe leseni ya kushiriki ligi hii ni kwa mujibu wa bodi ya ligi.Niyonzima zengwe kwanza anawadai mpaka leo..taja Dilunga atamuweka nani benchi..mchezaji wa mechi ndogo