Ntakupa somo utaelewa nenda bunju complx kajionee kwa nini usimuliwe alafu jifunze hili litakusaidia"unachokula ndio kina amua afya yako itakavyokuwa " hao wachezaji ndio wanaonyesha hali halisi ya club kwa sasa haiwezi linganisha azam/simba na yanga ,yanga wakianza kufanya vitu vya kueleweka wachezaji njaa na malalamiko yatakwisha vitabaki vitu vya kawaida