Chama Triple C awataka Yanga kuacha uzushi

Chama Triple C awataka Yanga kuacha uzushi

Ntakupa somo utaelewa nenda bunju complx kajionee kwa nini usimuliwe alafu jifunze hili litakusaidia"unachokula ndio kina amua afya yako itakavyokuwa " hao wachezaji ndio wanaonyesha hali halisi ya club kwa sasa haiwezi linganisha azam/simba na yanga ,yanga wakianza kufanya vitu vya kueleweka wachezaji njaa na malalamiko yatakwisha vitabaki vitu vya kawaida
Basi mlisheni chakula kizuri Mohamed Hussein Tshabalala. Maana vingwangwa Simba wapo wengi tu.
 
Back
Top Bottom