Champion Investment matapeli Mwanza

Wewe jinga kweli.

 
Ningekuomba hiyo laki Wala usingenipatia Ila Kwa Matapeli ukawa na za kuwapatia. Pambana na Hali yako.
Hapewi pole mwenye kiranga
 
Wafuate ofisini kwao, au hizo documents zote umeziona kwenye what's up?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Ni ZUZUMAGIC PROFESSIONAL
 
Kwanza hiyo leseni ni ya biashara ya urembo wa ndani [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa wameshajua mmewapost sasa nao wameanza kupost mashahidi [emoji28][emoji28][emoji28].Kweli wajinga ndio waliwao.Mimi nashauri kwa kuwa namba za admin zipo basi hatua za kisheria zichukuliwe na wahusika wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria kwa makosa ya utapeli na kughushi nyaraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana Kwa Yanayokukuta
Bwana Bure Hayupo Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua
Hiyo Ni Deci Ama Pesa Za Ku Download
 
Pole Sana Kwa Yanayokukuta
Bwana Bure Hayupo Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua
Hiyo Ni Deci Ama Pesa Za Ku Download
 
hivi mkuu katika maisha yako ushawahi kusikia chochote kuhusu DECI, Pyramid scheme (Foreverliving, gnld etc) ????

Je, simu yako hujawah pokea sms yoyote kutoka Polisi ikikutahadhalisha kuepuka matapeli mitandaoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlalamikaji tupe abc jinsi gani ilifikia Hadi ukajiunga na hao champion, lini,wapi ofisi ipo, Nani alikupa mwanga kujiunga huko ili tujue Cha kukushauri
 
Mlalamikaji tupe abc jinsi gani ilifikia Hadi ukajiunga na hao champion, lini,wapi ofisi ipo, Nani alikupa mwanga kujiunga huko ili tujue Cha kukushauri
Hapa ndiyo maajabu yanaanza niliona tu namba yangu imeunganishwa kwenye group lao. Nadhani Kuna mahali wanapewa namba za wateja wanaofanya miamala Mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…