Champion Investment matapeli Mwanza

Champion Investment matapeli Mwanza

Habari za kazi wanajamvi.

Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENT ipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria.

Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.

Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia mia moja.

Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na leo ilikuwa nipokee gawio langu.

Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435.

Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.

View attachment 1326287View attachment 1326288View attachment 1326289View attachment 1326290View attachment 1326291
Na wewe kwa kupenda vya kwa sadala ukaaminishwa uwekeze utapata gawio maajabu haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Kinachowaponza Watanzania Walio Wengi ni Tamaa!
Biashara gani ya Leo Uweke Laki Moja na Kesho Kutwa Upate Laki Tatu???...Hivi nyinyi Watu hamjifunzi tu...???

Document zote fake.

Kitonga aka Slope aka Ganda la ndz
Hiyoooo
Ndomana deci na wengineo waliwwaumiza San watu na bdo wako wengine wanazidi kuwaumiza
Maana washajua wabongo wanapenda virahisi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za kazi wanajamvi.

Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENT ipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria.

Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.

Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia mia moja.

Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na leo ilikuwa nipokee gawio langu.

Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435.

Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.

View attachment 1326287View attachment 1326288View attachment 1326289View attachment 1326290View attachment 1326291
NDUGU
UNGEPOKEAAA MSHILOO USINGEKUJA NA HIZI KELELE WALA KUTUPA.MGAO WAMEKUWAHI UNATAKA MSAADA

EMBU PAMBANA BA HALIYAKOO BANA ELSE MUWE MNATUSHIRIKISHA HII.MICHONGO

KAMA TUNAIJUA TUNAWAPA LIVE MNAKANYAGA MAVI MSIENDE HUKOO ...WEEKEND INAENDELEA CALABASH MKUU NJOO TUWAPANGE UJE NA VICHUPA VIWILI BASI VYA..
 
...Kweli Dunia Imekwisha! Mtoto Mzuri hivyo naye anakuwa Tapeli??
Haya sasa wameshajua mmewapost sasa nao wameanza kupost mashahidi [emoji28][emoji28][emoji28].Kweli wajinga ndio waliwao.Mimi nashauri kwa kuwa namba za admin zipo basi hatua za kisheria zichukuliwe na wahusika wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria kwa makosa ya utapeli na kughushi nyaraka View attachment 1326366View attachment 1326367View attachment 1326368

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndugu kweli hauoni hizo documents zote ni feki hata ilo magazine ni photoshop na adobe program.... Kaah pole sana huwo ni utapeli mtupu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari za kazi wanajamvi.

Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENT ipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria.

Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.

Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia mia moja.

Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na leo ilikuwa nipokee gawio langu.

Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435.

Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.

View attachment 1326287View attachment 1326288View attachment 1326289View attachment 1326290View attachment 1326291
Kauli ya kwanza kukuelezea mtu kama wewe ni kuwa "huna akili timamu"

Kampuni ikwambie uwekeze hela kwa riba ya asilimia 100 kwa masaa 72,

wewe unafikiri wao wanafanya biashara gani ya kuweza kufanya wao wapate faida na kukupa wewe faida ya asilimia 100 kwa siku tatu

Kungekua na biashara ya aina hiyo kwa vipi unafikiri watu wanawekeza mamilioni ya fedha kufanya biashara zote nyingine unzojua ambazo hazitoi faida ya hata asilimia 50

Watu wa aina yako ndio wale wanaandikiwa matangazo ya Jiunge na freemasson

HUNA AKILI, period

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NDUGU
UNGEPOKEAAA MSHILOO USINGEKUJA NA HIZI KELELE WALA KUTUPA.MGAO WAMEKUWAHI UNATAKA MSAADA

EMBU PAMBANA BA HALIYAKOO BANA ELSE MUWE MNATUSHIRIKISHA HII.MICHONGO

KAMA TUNAIJUA TUNAWAPA LIVE MNAKANYAGA MAVI MSIENDE HUKOO ...WEEKEND INAENDELEA CALABASH MKUU NJOO TUWAPANGE UJE NA VICHUPA VIWILI BASI VYA..
Mpwa jioni Ntakuja hpo nyuma ya calabash kna chimbo moja taff sana
Kuna mtu kaniita anataka tuyajenge lkn mbn ameniita bar tutayajenga Kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Hawa wazee wa weka million 1 baada ya wiki itazaa mln 4 wabaya sana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kauli ya kwanza kukuelezea mtu kama wewe ni kuwa "huna akili timamu"

Kampuni ikwambie uwekeze hela kwa riba ya asilimia 100 kwa masaa 72,

wewe unafikiri wao wanafanya biashara gani ya kuweza kufanya wao wapate faida na kukupa wewe faida ya asilimia 100 kwa siku tatu

Kungekua na biashara ya aina hiyo kwa vipi unafikiri watu wanawekeza mamilioni ya fedha kufanya biashara zote nyingine unzojua ambazo hazitoi faida ya hata asilimia 50

Watu wa aina yako ndio wale wanaandikiwa matangazo ya Jiunge na freemasson

HUNA AKILI, period

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata biashara haramu haipo hiyooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila yote ni kitonga

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAHAH ATUULIZIE SISI WA
Mpwa jioni Ntakuja hpo nyuma ya calabash kna chimbo moja taff sana
Kuna mtu kaniita anataka tuyajenge lkn mbn ameniita bar tutayajenga Kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Hawa wazee wa weka million 1 baada ya wiki itazaa mln 4 wabaya sana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
DESI UNACHOTA UNACHOTA UNAZIMWG PWAA ZINAENDA BOT .....ACHAKABISA PAMOJAMPWAA
 
UNAAMBIWA FB TUNAKOPESHA MIKOPO ISIYOHITAJI ......WEWEEEE SHTUKAAA
 
HAHAH ATUULIZIE SISI WA

DESI UNACHOTA UNACHOTA UNAZIMWG PWAA ZINAENDA BOT .....ACHAKABISA PAMOJAMPWAA
Mpwa DESI alipigwagwa yule jamaa wako alikuwa Barclay's mambo ya IT
Wkt ule alitumbukiza Hela Mara ya kwanza akapiga jamaa akanogewa, akajaga kutufata maskan kutupa mambo yak hayo Ila kila nkimsikiliza nkawa simuelewi
Jamaa Akanchkua hadi mwanambka pale kupewa darasa lkn mm nkashtuka
Jamaa aliuzaga premio wkt ule ili Hela atumbukize mule
Yaaaalaaaaa
Baada ya muda kisangaaaa kikatokeaaaa
Jamaa akawa analialiaaaa
Nkamwambiaaa mambo hayaaa tulishayaonaaa
Kwa Pele wkt tuko huko na watu waliliaaa sana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom