monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
sana[emoji28][emoji28][emoji28]Jipigepige kifuani jiambie mimi ni mjinga sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sana[emoji28][emoji28][emoji28]Jipigepige kifuani jiambie mimi ni mjinga sana.
Na wewe kwa kupenda vya kwa sadala ukaaminishwa uwekeze utapata gawio maajabu hayaHabari za kazi wanajamvi.
Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENT ipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria.
Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.
Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia mia moja.
Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na leo ilikuwa nipokee gawio langu.
Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435.
Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.
View attachment 1326287View attachment 1326288View attachment 1326289View attachment 1326290View attachment 1326291
Wakati Biblia Takatifu ishasema siku nyiingi asiyefanya kazi na asile ukitaka vya kina kaisari ndio haya ya kula uliwe
Document zote fake.Habari za kazi wanajamvi.
Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENT ipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria.
Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.
Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia mia moja.
Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na leo ilikuwa nipokee gawio langu.
Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435.
Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.
View attachment 1326287View attachment 1326288View attachment 1326289View attachment 1326290View attachment 1326291
Kitonga aka Slope aka Ganda la ndz...Kinachowaponza Watanzania Walio Wengi ni Tamaa!
Biashara gani ya Leo Uweke Laki Moja na Kesho Kutwa Upate Laki Tatu???...Hivi nyinyi Watu hamjifunzi tu...???
Sent using Jamii Forums mobile app
NDUGUHabari za kazi wanajamvi.
Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENT ipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria.
Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.
Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia mia moja.
Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na leo ilikuwa nipokee gawio langu.
Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435.
Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.
View attachment 1326287View attachment 1326288View attachment 1326289View attachment 1326290View attachment 1326291
Haya sasa wameshajua mmewapost sasa nao wameanza kupost mashahidi [emoji28][emoji28][emoji28].Kweli wajinga ndio waliwao.Mimi nashauri kwa kuwa namba za admin zipo basi hatua za kisheria zichukuliwe na wahusika wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria kwa makosa ya utapeli na kughushi nyaraka View attachment 1326366View attachment 1326367View attachment 1326368
Sent using Jamii Forums mobile app
Kauli ya kwanza kukuelezea mtu kama wewe ni kuwa "huna akili timamu"Habari za kazi wanajamvi.
Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENT ipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria.
Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.
Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia mia moja.
Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na leo ilikuwa nipokee gawio langu.
Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435.
Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.
View attachment 1326287View attachment 1326288View attachment 1326289View attachment 1326290View attachment 1326291
Mpwa jioni Ntakuja hpo nyuma ya calabash kna chimbo moja taff sanaNDUGU
UNGEPOKEAAA MSHILOO USINGEKUJA NA HIZI KELELE WALA KUTUPA.MGAO WAMEKUWAHI UNATAKA MSAADA
EMBU PAMBANA BA HALIYAKOO BANA ELSE MUWE MNATUSHIRIKISHA HII.MICHONGO
KAMA TUNAIJUA TUNAWAPA LIVE MNAKANYAGA MAVI MSIENDE HUKOO ...WEEKEND INAENDELEA CALABASH MKUU NJOO TUWAPANGE UJE NA VICHUPA VIWILI BASI VYA..
Hata biashara haramu haipo hiyoooKauli ya kwanza kukuelezea mtu kama wewe ni kuwa "huna akili timamu"
Kampuni ikwambie uwekeze hela kwa riba ya asilimia 100 kwa masaa 72,
wewe unafikiri wao wanafanya biashara gani ya kuweza kufanya wao wapate faida na kukupa wewe faida ya asilimia 100 kwa siku tatu
Kungekua na biashara ya aina hiyo kwa vipi unafikiri watu wanawekeza mamilioni ya fedha kufanya biashara zote nyingine unzojua ambazo hazitoi faida ya hata asilimia 50
Watu wa aina yako ndio wale wanaandikiwa matangazo ya Jiunge na freemasson
HUNA AKILI, period
Sent using Jamii Forums mobile app
DESI UNACHOTA UNACHOTA UNAZIMWG PWAA ZINAENDA BOT .....ACHAKABISA PAMOJAMPWAAMpwa jioni Ntakuja hpo nyuma ya calabash kna chimbo moja taff sana
Kuna mtu kaniita anataka tuyajenge lkn mbn ameniita bar tutayajenga Kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Hawa wazee wa weka million 1 baada ya wiki itazaa mln 4 wabaya sana
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
MI NASIKITIK WMEMPIG NDOGOO SNA ANGELAMBW 400+ SIJUI KAMA ANGEWEZ NDIK YOTEE HYAMkuu umeibiwa kijinga sana.......unatuma hela kirahisi ivyo? Umefanya utoto sana
Mpwa DESI alipigwagwa yule jamaa wako alikuwa Barclay's mambo ya ITHAHAH ATUULIZIE SISI WA
DESI UNACHOTA UNACHOTA UNAZIMWG PWAA ZINAENDA BOT .....ACHAKABISA PAMOJAMPWAA
Bit coin kna wapmbv wameweka Hela ila kutoa wanashindwa vipengele kibaoooUNAAMBIWA FB TUNAKOPESHA MIKOPO ISIYOHITAJI ......WEWEEEE SHTUKAAA