Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Hivi kumbe Uingereza waliingiza Timu tano?
Katika upangaji wa timu 16 zitakazopambana katika hatua ya mtoano uliofanyika leo, Timu ya Real Madrid imepangiwa kucheza na PSG wakati Chelsea itapambana na Barcelona.
Hii ndio jinsi timu zote zilivyopangiwa kucheza
Je ni timu zipi zina nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali?
Bayern njia nyeupeeee mwaka huuuuNani atachukuwa ubingwa?
AC ROMA ndio timu gani jombaa?FAINALI AC ROMA VS MAN UTD
Acha stress na assnal yakoWAtu ni wepesi sana kusahau EPL pale hamna kitu hasa zikifika hatua kama hii.. Team ya pekee yenye nafasi kubwa ni Man City zilizobaki kutoka EPL nafasi ya kutolewa ni kubwa mnoo.. Porto atamuabisha Liverpool.. Na kwa hii Chelsea ni ngumu mno kumtoa Barca.. Man U naye haeleweki kabisa Seville atampa kibano. Juve licha ya kiwango kutokuwa sawa ila uzoefu utambeba sana dhidi ya Totenham
Tujipe moyo tuu. Chelsea hii ya kufungwa na West Ham, Crystal Palace na vibonde wengine? Well, we have Bakayoko and we shouldnt be worried.Chelsea tunapita mapema sana asubuhi Barca ile ya miaka ile sio Barca hii mdebwedo....tena bila MSN ndo kabisaaa
Acheni kuidharau madrid nyinyi viumbe, namuamin mnoo zidane katika hizi game za nani kaona.. mengine tuache lugha ya mpira inene..Kwa heri la liga timu zao zote hazitoboi kwenda hatua inayofuata....
Timu zote za ligi ya England zinafuzu hatua inayofuata.....
Boy! Kwenye mambo ya soka huwa hatupigi ramli kama unavyofanya kwenye siasa ya lumumba kule kwenu. We endelea kuwa mshabiki tu wa mpira, uchambuzi huuweZUkiangali hii draw utaona kabisa kuwa timu za laliga zote zinaishia robo lakini ukweli ni kwamba pamoja nakuwa Madrid na BARCA hawaonekani kuwa bora safari hii lakini hakika wata washangaza wengi.....
Match ya Madrid na PSG naiona kama fainali ya Madrid na Juve ambapo madrid alionekana lazima afungwe kabisa lakini mambo ya dakika 90 yakabadilisha upepo...
Chelsea hawa bora wangekuwa chelsea wa Mourinho,Chelsea hii inayofunguka mwanzo mwisho itakula nyingi sana mbele ya Barca.....
The worst usajili kuliko ni huu sisemi ni mbaya lakini haendani au labda hajaizoea ligi,pale kati akicheza kante na drinkwater unaona timu inaperform....marcos alonso amechoka msimu uliopita kacheza sana msimu huu flop kuliko,weka benchi zappacosta atacheza...Tujipe moyo tuu. Chelsea hii ya kufungwa na West Ham, Crystal Palace na vibonde wengine? Well, we have Bakayoko and we shouldnt be worried.
Mkuu mi mwnyw nashangaa watu wanatubeza sana na wakati rekodi inatubeba. Wanaona kupoteza ni rahisi sana.Safi sana! Niliwamiss sana vijana wetu barca. Antonio sasa ndio muda wa kujipima kama unastahili japo kidogo kubaki au usepe. Hatuna historia ya kunyanyaswa na barca sisi. Hata Di Mateo aliwaweka mfukoni...
PSG au City.Nani atachukuwa ubingwa?