Champions League last 16: Real Madrid kuivaa PSG; Chelsea kukipiga na Barcelona

Champions League last 16: Real Madrid kuivaa PSG; Chelsea kukipiga na Barcelona

Hivi Barca wanavyochezeaga vipigo kila mara..Chelsea si tutawakalisha! Ebu ngoja tuone
 
BESIKTAS ndo habari nyingine hapo wanagonga soka la kibabe
Shida wadau hawaangalii mechi nyingi. Kwangu mm nimeangalia mechi zote za besiktas. Aisee hii timu ipo vizuri sana Msimu huu.
 
Ni rahisi chelsea kudhida dhidi ya barca but sio madrid kushinda dhidi ya PSG ya sasa
 
Uzoefu wa Juve umeukumbuka umeusahau wa Liver kwa Porto? Fuatilia, Kutoa ushabiki, Porto asubuhi tu anapigwa. Linda haya maneno yangu.
Kila mmoja nimeangalia kwa jicho la tofauti.. Liverpool ni wabovu mno msimu huu licha ya better past experience na kama umewafuatilia Porto kwenye UCL utakubaliana na mm wana energy na morale ya juu mno.. Totenham hata kwenye league wamepwaya sana plus uzoefu mdogo wa UCL karata hapa ni kwa Juve.. Kumbuka mbinu zitumikazo kwenye elimination stage si sawa na group stage.
 
I can see
Juventus
Man city
Sevilla
PSG
Shakhtar
Barcelona
Bayern &
Fc Porto hawa wanakwenda next round. Quater final
 
I wish psg afke finali akutane
na wanitesa united
 
Uzoefu wa Juve umeukumbuka umeusahau wa Liver kwa Porto? Fuatilia, Kutoa ushabiki, Porto asubuhi tu anapigwa. Linda haya maneno yangu.
Yaah true Liverpool kwa sasa wako kwenye kiwango kizuri sana tena wanampira wa kasi sana
 
Brother Besiktas sio jeshi la mchezo. Labda historia iwabebe B. Munchen.
B.munchen lazima mechi moja na yeye atachezea kichapo labda apite kwa idadi ya magoli. Besktas jina lao ni dogo ila wakiwa kwenye pitch hapo ndipo utakubali mwenyewe
 
Chelsea hawezi kumtoa barca, wakati wote huwa ni anamsumbua tu na barca kupata ushindi hafifu sana ..lakini haitotokea chelsea amtoe barca. PSG anatolewa na R. Madrid
Mkuu unakijua ulicho andika.? Naomba Record ya Chelsea na Barcelona. Barca ni mteja wakat wote
 
Back
Top Bottom