bhakamu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 813
- 787
Mwenye nao mkuu.watamalizana kwanza wao sisi mnatukuta fainali.#madridsta#Nani atachukuwa ubingwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye nao mkuu.watamalizana kwanza wao sisi mnatukuta fainali.#madridsta#Nani atachukuwa ubingwa?
Shida wadau hawaangalii mechi nyingi. Kwangu mm nimeangalia mechi zote za besiktas. Aisee hii timu ipo vizuri sana Msimu huu.BESIKTAS ndo habari nyingine hapo wanagonga soka la kibabe
Roma anapita, mark my words mkuu..Tabiri
Tabiri ya sharkhter donesk na roma
50/50.Chelsea mhh sina hakika
Kila mmoja nimeangalia kwa jicho la tofauti.. Liverpool ni wabovu mno msimu huu licha ya better past experience na kama umewafuatilia Porto kwenye UCL utakubaliana na mm wana energy na morale ya juu mno.. Totenham hata kwenye league wamepwaya sana plus uzoefu mdogo wa UCL karata hapa ni kwa Juve.. Kumbuka mbinu zitumikazo kwenye elimination stage si sawa na group stage.Uzoefu wa Juve umeukumbuka umeusahau wa Liver kwa Porto? Fuatilia, Kutoa ushabiki, Porto asubuhi tu anapigwa. Linda haya maneno yangu.
Nakwambia tuna wapiga ndani njeChelsea tunapita mapema sana asubuhi Barca ile ya miaka ile sio Barca hii mdebwedo....tena bila MSN ndo kabisaaa
Kwan mmeskia wengerNakwambia tuna wapiga ndani nje
Yaah true Liverpool kwa sasa wako kwenye kiwango kizuri sana tena wanampira wa kasi sanaUzoefu wa Juve umeukumbuka umeusahau wa Liver kwa Porto? Fuatilia, Kutoa ushabiki, Porto asubuhi tu anapigwa. Linda haya maneno yangu.
kila unapoiwaza CHELSEA remember FERNANDO TORRES 2012Nakwambia tuna wapiga ndani nje
Hapo kwa sevilla na shakter hapanaI can see
Juventus
Man city
Sevilla
PSG
Shakhtar
Barcelona
Bayern &
Fc Porto hawa wanakwenda next round. Quater final
B.munchen lazima mechi moja na yeye atachezea kichapo labda apite kwa idadi ya magoli. Besktas jina lao ni dogo ila wakiwa kwenye pitch hapo ndipo utakubali mwenyeweBrother Besiktas sio jeshi la mchezo. Labda historia iwabebe B. Munchen.
Washabikia timu za EPL wanamidomo kama wainglish tulieni mtaona na motoTimu zote za england zinaingia robo
Mkuu unakijua ulicho andika.? Naomba Record ya Chelsea na Barcelona. Barca ni mteja wakat woteChelsea hawezi kumtoa barca, wakati wote huwa ni anamsumbua tu na barca kupata ushindi hafifu sana ..lakini haitotokea chelsea amtoe barca. PSG anatolewa na R. Madrid
[emoji23] [emoji23]kila unapoiwaza CHELSEA remember FERNANDO TORRES 2012