Champions League last 16: Real Madrid kuivaa PSG; Chelsea kukipiga na Barcelona

Chelsea hawezi kumtoa barca, wakati wote huwa ni anamsumbua tu na barca kupata ushindi hafifu sana ..lakini haitotokea chelsea amtoe barca. PSG anatolewa na R. Madrid
 
Reactions: mij
Chelsea hawezi kumtoa barca, wakati wote huwa ni anamsumbua tu na barca kupata ushindi hafifu sana ..lakini haitotokea chelsea amtoe barca. PSG anatolewa na R. Madrid
Mzee unatunza kumbukumbu kweli? Waulize barca wanamkumbuka torres aliwafanya nini camp nou
 
Mliokariri kuwa kuwa wa kwanza kwenye makundi ni faida maana utapangwa na kibonde mnajidanganya tu.Huko Bayern munich wanafurahia kuwa wa pili maana wa kwanza katika kundi lake ni PSG na kapangwa na REAL MADRID huku yeye bayern wa pili kapangwa na KITONGA Besiktas.....

Kweli maisha hayana FORMULA
 
mpira haunaga uzoefu
 
Barca sio wazuri kihivyo wanafungika sana tu, sema Man city na Liverpool will be happy. Man u pia sevilla makali yamepungua sana tu. hata spurs nawapa nafasi 50/50. KO mechi zinakuwa kama hazitabiriki ila shughuli kwa kweli PSG na Real kazi ipo.
Liverpool wakiendelea na performance walionayo sasa nafikiri watatoboa, sababu Fc Porto ni watata msimu huu.
 
Kipindi chelsea anachukua kombe nusu fainali barca uliwatoa wewe?
Barca toka 96 mpk 2005 anampiga chelsea 2005 chelsea kaanza kumsumbua kampiga Mara 3 tu na kuwekwa na draw..
Mzee unatunza kumbukumbu kweli? Waulize barca wanamkumbuka torres aliwafanya nini camp nou
Sasa game moja inafanyutoe hayo maamuzi auu halaf barca hakufungwa now camp alidraw . Chelsea anamsumbua tu barca ..barca anamuacha chelsea ..dawati la ubishi sikai
 
Uzoefu wa Juve umeukumbuka umeusahau wa Liver kwa Porto? Fuatilia, Kutoa ushabiki, Porto asubuhi tu anapigwa. Linda haya maneno yangu.
 
Mzee unaandika upupu gani hapa?
 
Brother Besiktas sio jeshi la mchezo. Labda historia iwabebe B. Munchen.
 
Timu ambazo nina uhakika nazo ni Man U, Man City, Barcelona na Madrid
 
Chelsea hawezi kumtoa barca, wakati wote huwa ni anamsumbua tu na barca kupata ushindi hafifu sana ..lakini haitotokea chelsea amtoe barca. PSG anatolewa na R. Madrid
Madrid ndiyo mwisho wetu mkuu...akimtoa PSG ,anachukua tena ubingwa WA UCL
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…