Champions League last 16: Real Madrid kuivaa PSG; Chelsea kukipiga na Barcelona

Champions League last 16: Real Madrid kuivaa PSG; Chelsea kukipiga na Barcelona

WAtu ni wepesi sana kusahau EPL pale hamna kitu hasa zikifika hatua kama hii.. Team ya pekee yenye nafasi kubwa ni Man City zilizobaki kutoka EPL nafasi ya kutolewa ni kubwa mnoo.. Porto atamuabisha Liverpool.. Na kwa hii Chelsea ni ngumu mno kumtoa Barca.. Man U naye haeleweki kabisa Seville atampa kibano. Juve licha ya kiwango kutokuwa sawa ila uzoefu utambeba sana dhidi ya Totenham

Hapo ulichemka!!
 
Kila mmoja nimeangalia kwa jicho la tofauti.. Liverpool ni wabovu mno msimu huu licha ya better past experience na kama umewafuatilia Porto kwenye UCL utakubaliana na mm wana energy na morale ya juu mno.. Totenham hata kwenye league wamepwaya sana plus uzoefu mdogo wa UCL karata hapa ni kwa Juve.. Kumbuka mbinu zitumikazo kwenye elimination stage si sawa na group stage.

Wabovu wakashinda 5 kwa 0..!? Energy na morale ya Fc Porto zilipotelea wapi??
 
AC ROMA ndio timu gani jombaa?
nadhani sasa umeanza kunielewa kwa mbaali mkuu.
asilimia 45% ya timu watu walizozipa kipaumbele zimetolewa. Roma kufika nusu fainali ni hatua kubwa, ngoja tuone itakavyokuwa, ila nilishaipa nafasi ya kufika fainali toka Dec 11 2017
 
Back
Top Bottom