Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Juventus kaishaipunguza timu moja.Uingereza zote kasoro chelsea zitaingia robo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juventus kaishaipunguza timu moja.Uingereza zote kasoro chelsea zitaingia robo
Kwa heri la liga timu zao zote hazitoboi kwenda hatua inayofuata....
Timu zote za ligi ya England zinafuzu hatua inayofuata.....
Toa liva weka madrid
WAtu ni wepesi sana kusahau EPL pale hamna kitu hasa zikifika hatua kama hii.. Team ya pekee yenye nafasi kubwa ni Man City zilizobaki kutoka EPL nafasi ya kutolewa ni kubwa mnoo.. Porto atamuabisha Liverpool.. Na kwa hii Chelsea ni ngumu mno kumtoa Barca.. Man U naye haeleweki kabisa Seville atampa kibano. Juve licha ya kiwango kutokuwa sawa ila uzoefu utambeba sana dhidi ya Totenham
Ni rahisi chelsea kudhida dhidi ya barca but sio madrid kushinda dhidi ya PSG ya sasa
Kila mmoja nimeangalia kwa jicho la tofauti.. Liverpool ni wabovu mno msimu huu licha ya better past experience na kama umewafuatilia Porto kwenye UCL utakubaliana na mm wana energy na morale ya juu mno.. Totenham hata kwenye league wamepwaya sana plus uzoefu mdogo wa UCL karata hapa ni kwa Juve.. Kumbuka mbinu zitumikazo kwenye elimination stage si sawa na group stage.
Uingereza zote kasoro chelsea zitaingia robo
Tottenham Kifo cha mendeUingereza zote kasoro chelsea zitaingia robo
nadhani sasa umeanza kunielewa kwa mbaali mkuu.AC ROMA ndio timu gani jombaa?
Ulikua sahihi mkuu.¡¡¡Madrid ndiyo mwisho wetu mkuu...akimtoa PSG ,anachukua tena ubingwa WA UCL
.
Ulisema kiutani lakini ikawa kweliman city na liver pekeee ndio watasogea