PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Mimi siliilii hata wakirudia tena wanipe bayern mimi kilicho mbele yangu ni halali yangu ila R.MADRID mbeleko zimezid et kiwofbag sasa si wangempa hata PSG
Ndio maana nikakwambia kama hujui jinsi gani draw za UEFA zinaendeshwa uliza ufahamishwe. Kama unaongea tu jinsi akili zako zinavyokutuma sawa