Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] mimi nina id moja tu sababu najiamini mimi sio Gang ChombaPNC una kuja na vi I'd tofaut tofaut kenge wwe
...no; hii ni draw mkuu,any team can draw any other,hakuna kubebwa wala chochote.Yap ni kweli mkuu ila R.Madrid wamezid mbeleko yani toka makund had robo wanapewa mteremko tu hii ni too much[emoji35]
Atletico ndio timu inayodefence kuliko zote hila barca atapta...Barca akimtoa Atletico anaenda kuchukua hilo kombe,binafsi naiona Atletico ndio timu ngumu zaidi ya zote zilizokuwepo kwenye hiyo draw..
Yap ni kweli mkuu ila R.Madrid wamezid mbeleko yani toka makund had robo wanapewa mteremko tu hii ni too much[emoji35]
Atletico Madrid ni mbabe kwa Real Madrid tu...siyo kwa Barca!atletico ni timu ngumu lakini kwa barca keshakua mteja mkuu, ukicheki meeting zao msimu huu na msimu uliopita atletico nadhani hajashinda hata moja
Kila ninaposoma comment za watu wanavyoidharau atletico Madrid nabaki kucheka tu!!Hizi game ndio huwa zinampandisha chart Diego simeone!
kweli barca kampiga sana atleticoAtletico Madrid ni mbabe kwa Real Madrid tu...siyo kwa Barca!
Kwa kweli, hali inaweza kuwa hivo bt I wish itokee hivo..ulimwengu utapigwa butwaa...hahahahahahahaaaa, naona wewe meposti kinyume chake, uliowaweka nusu fainali hawapiti hata mmoja
weka full draw na chanzoNane bora Europa Borrusia Dortmund V Liverpool FC