Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tulia hapo hapo atletico atapigwa kipigo cha mbwamwizi sasa sitotaka ubadili maneno yakoKabla ya draw ya jana nliamini kabisa kati ya timu ambazo barca asingependa kukutana nazo kwa sasa ni atletico, na jana baada ya draw mwanabodi mmoja wa barca alipohojiwa alikiri hilo. Sisemi kwamba barca hawako vizuri, maana wote tunajua uwezo wao. Ila kati ya timu zote zilizobaki including bayern, kama kuna timu inaweza kumtoa barca basi ni atletico, na wenyewe wanatambua hilo, na kwa mtazamo wangu kama barca atapita hapa bila shaka rekodi ya kuchkua ubingwa mfululizo tangu hii michuano ianze kuitwa uefa itakua inamuhusu, maana sioni kama kuna mwingine anaeweza kumzuia kufanya hivyo zaidi ya atletico ya diego simeone
Ndugu PNC 1 hiyo arse8 mbona siijuhi. Ngoja nikwambie kitu kwa msimu huu ni kweli atletico hajafanya vizuri mbele ya barca lakini isiwe kigezo cha kuichukulia poa hiyo game ni Hayo tumtabadili timu za barca had mchoke maana mlikuwa ARSENAL sasa mmehamia Atletico baadae mtahamia PSG alaf final tutawaumbua zaid kwa bayern VIVA MSN
mkuu kwa spidi hii ya BARCELONA hata wakichanganywa wachezaji wakal ulaya alaf itolewe first eleven bora lazma watachezea tu HII SPEED YA MSN IMEKUWA TSUNAMI mechi 38 bila kufungwa acha kabsaaaaNdugu PNC 1 hiyo arse8 mbona siijuhi. Ngoja nikwambie kitu kwa msimu huu ni kweli atletico hajafanya vizuri mbele ya barca lakini isiwe kigezo cha kuichukulia poa hiyo game ni Hayo tu
mtabadili timu za barca had mchoke maana mlikuwa ARSENAL sasa mmehamia Atletico baadae mtahamia PSG alaf final tutawaumbua zaid kwa bayern VIVA MSN
Mkuu nna wasiwasi sana na uelewa wako wa mpira, sijajua mpira unauangalia vipi yani. Bila shaka wewe ni mmoja kati ya wale mashabiki fwata upepo, ambao hata hyo barca wameanza kuishabikia baada ya kuwa wanatawala ulaya. Mtu yoyote anaejua kweli mpira hawezi kuandika ulichoandika mkuuMkuu tulia hapo hapo atletico atapigwa kipigo cha mbwamwizi sasa sitotaka ubadili maneno yako
Ni kweli Barcelona wako vizuri ila hapo kwenye kutoa first eleven ya ulaya halafu wacheze na Barcelona mechi itakuwa ngumu hiyomkuu kwa spidi hii ya BARCELONA hata wakichanganywa wachezaji wakal ulaya alaf itolewe first eleven bora lazma watachezea tu HII SPEED YA MSN IMEKUWA TSUNAMI mechi 38 bila kufungwa acha kabsaaaa
mkuu pia mimi nina wasiwas na wewe huenda ukawa ni shabiki wa ARSE8 AU MAN U sababu unaonekana yani hujazoea kushinda MIMI NI BARCA DAMU TENA HUENDA KABLA HATA HUJAANZA SHABIKIA MPIRA na naijua BARCA haiwez niangusha na hata kesho tupo uwanjani dhidi ya timu ngumu ya villareal na najua 99% tutashinda hvyo pale naenda angalia idad ya goli tutazoshinda sababu najua BARCA haiwez niangusha.Mkuu nna wasiwasi sana na uelewa wako wa mpira, sijajua mpira unauangalia vipi yani. Bila shaka wewe ni mmoja kati ya wale mashabiki fwata upepo, ambao hata hyo barca wameanza kuishabikia baada ya kuwa wanatawala ulaya. Mtu yoyote anaejua kweli mpira hawezi kuandika ulichoandika mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] naomba itokee hivyo halafu tuone, hili swala hata mimi nilikuwa nafikiria litokee hata Mara moja tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ni kweli mechi itakuwa ngumu japo tutashinda
aiseee ni vigumu sana mkuu sababu endapo BARCA itashinda tutajisifia saaana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji2] [emoji2] [emoji2] naomba itokee hivyo halafu tuone, hili swala hata mimi nilikuwa nafikiria litokee hata Mara moja tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Wewe endelea kujipa moyo tuaiseee ni vigumu sana mkuu sababu endapo BARCA itashinda tutajisifia saaana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Duuuh noma kweli mshikaji wanguumechapia "moyo"[emoji13]
Mkuu with all due respect siwezi kuendelea kubishana tena na wewe, maana hiyo comment yako imeonesha wazi ushabiki maandazi wako. Naomba turudi tena hapa april baada ya game zote mbilimkuu kwa spidi hii ya BARCELONA hata wakichanganywa wachezaji wakal ulaya alaf itolewe first eleven bora lazma watachezea tu HII SPEED YA MSN IMEKUWA TSUNAMI mechi 38 bila kufungwa acha kabsaaaa
[emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa mkuu APRIL tutamjua nan mshabiki maandaz japo umepanic[emoji4]Mkuu with all due respect siwezi kuendelea kubishana tena na wewe, maana hiyo comment yako imeonesha wazi ushabiki maandazi wako. Naomba turudi tena hapa april baada ya game zote mbili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi mbona sijapanick mkuu, ila sikutegemea tu ungeweza kutoa comments kama zile. Hamna asiejua kua barca wanajua, ila kama nlivyosema awali, kama kuna timu iliyobaki yenye uwezo wa kuwatoa barca basi ni atletico. Kama barca atapita kwa atletico bila shaka ndoo ya pili mfulilizo ni yake.Sawa mkuu APRIL tutamjua nan mshabiki maandaz japo umepanic[emoji4]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa mkuu labda usipopapenda au palipokuboa ni wap ikiwa kwamba nilikujb kuwa ENDAPO TUTAMTOA ATLETICO bas usije ghairisha ahad yako mf: mmebebwa huoni penat au red ) hz kaul siziendag au ULITAHARUKI baada ya kukwambia wewe ni ARSE8 [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] mi mbona sijapanick mkuu, ila sikutegemea tu ungeweza kutoa comments kama zile. Hamna asiejua kua barca wanajua, ila kama nlivyosema awali, kama kuna timu iliyobaki yenye uwezo wa kuwatoa barca basi ni atletico. Kama barca atapita kwa atletico bila shaka ndoo ya pili mfulilizo ni yake.
Huu ni mtazamo wangu tu lakini