Mimi siliilii hata wakirudia tena wanipe bayern mimi kilicho mbele yangu ni halali yangu ila R.MADRID mbeleko zimezid et kiwofbag sasa si wangempa hata PSG
mkuu emu tufahamishe basi,maana binafsi sikupenda timu za logi moja kukutanaAcha kulialia, kama hujui jinsi gani draw za UEFA zinaendesha uliza ufahamishwe.
mkuu emu tufahamishe basi,maana binafsi sikupenda timu za logi moja kukutana
Nusu fainali ni
wolsburg vs benfica
Atletico Madrid vs Manchester city
Fainali ni benfica vs atletico, then atletico anachukua ndoo...I wish iwe hivo tofauti na matarajio ya wengi!
hebu cheki fixture zao head to head uoneNi rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindanno kuliko Barcelona kumfunga Atlético de Madrid...Namaanisha Barcelona keshatoka kweli hili kombe kuchukua maraa ya pili ni ngumu..
Uzuri wa champions league yeyote anaweza kuvuka hatua hiyo....hakuna underdogs huko....kumbuka 2012...kumbuka juve alivyomtoa Madrid...
hahahahahahahaaaa, naona wewe meposti kinyume chake, uliowaweka nusu fainali hawapiti hata mmojaNusu fainali ni
wolsburg vs benfica
Atletico Madrid vs Manchester city
Fainali ni benfica vs atletico, then atletico anachukua ndoo...I wish iwe hivo tofauti na matarajio ya wengi!
I honestly think AM can win it this year.hebu cheki fixture zao head to head uone
katika fixture 6 za mwisho kati ya barca na atletico barcelona ameshinda zote
sasa hapo odds zina mfavor nani??
everything is possible, mwenyewe nisingependa wale ma giants wachukue.....madrid,barca ,bayern imekua kama cycle flani hivI honestly think AM can win it this year.
naona watu wanamchukulia poa Diego...ila somone ni nourma!Kila ninaposoma comment za watu wanavyoidharau atletico Madrid nabaki kucheka tu!!Hizi game ndio huwa zinampandisha chart Diego simeone!
kule mbele jamaa hayuko fresh. ana goli chache sana. na pia kuna timu za kuwapakia basi si Barca ambayo Neymar na messi ni mabingwa wa kupenya.Kila kitu kinawezekana. Lakini Simeone anatakiwa ufunge magoli ushindi haupatikani kwa kupaki bus tu
mkuu mbona unapenda kuuchosha moyo wako kwa kuiombea mabaya barcelonaNi rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindanno kuliko Barcelona kumfunga Atlético de Madrid...Namaanisha Barcelona keshatoka kweli hili kombe kuchukua maraa ya pili ni ngumu..
Uzuri wa champions league yeyote anaweza kuvuka hatua hiyo....hakuna underdogs huko....kumbuka 2012...kumbuka juve alivyomtoa Madrid...