Champions Legue Final - Bayen Munich VS Inter Milan- Count down

Champions Legue Final - Bayen Munich VS Inter Milan- Count down

Milito ndiye Mchezaji Bora wa Mwaka huu hakuna Ubishi
 
calm...........composed.........world class..............diego milito
 
Ba'Mkubwa hongera sana..umeotea lakini kutabiria ushindi!..Mourinho's squad si mchezo!!
 
wonderful goal bwana milito... surely Maradona must be having a serious selection headache
 
Straika wa Balantanda katoka, bwa ha ha ha..

Kabanwa sana na Inter leo.........kama Bayern walivombana Eto'o na kumsahau Milito....Hongera zao Inter........Sasa sijui wee hapa waishangilia Nerrazzuri ama.........Maana wao na Rossoneri mbali mbali,Simba na Yanga
 
Home B, huu mpira natazama tangia mwanzo lakini Eto'o sijamuona kabisa..kweli kabanwa maana hajavuma mechi ya leo..
 
Inter Milan are the champs.............Sipati picha na nyodo za Josee
 
The special one and his squad they finally put a ring on Beyern Munich,happy celebration Inter fans!
 
Kabanwa sana na Inter leo.........kama Bayern walivombana Eto'o na kumsahau Milito....Hongera zao Inter........Sasa sijui wee hapa waishangilia Nerrazzuri ama.........Maana wao na Rossoneri mbali mbali,Simba na Yanga
Mzee umeanza kufuatilia soka la Ulaya lini? Baada ya Madrid timu inayofuatia ktk kuchukua kombe hili Milan 1899 a.k.a Rossoneri. BTW, Etoo amefurukuta kwene goli la pili amechangia, lakini straika wako Olic alikuwa anarukaruka tu uwanjani.
 
The Special one has done it once again..lol!nasubiri tu maneno yake,hicho tu!! Poor Robben
 
Back
Top Bottom