CHAN Finals: Live from Ivory Coast

CHAN Finals: Live from Ivory Coast

Defence inawaweka sana jamaa nyuma.......watatuotea hawa halafu iwe mbeleko kuwakamata....
 
Mh, wachezaji wetu wafupi si mchezo! Mtangazaji wao (wazungu) anakiri watanzania kisoka wameimarika kikweli na huenda wakasonga mbali zaidi (kwa wale mnaosikiliza comments)
 
Yes, ni vibushuti mno nao......mipira yote ya krosi inawashinda.....
Mmeiiona ileee!!
 
Hawa Senegal kitakachowasaidia ni urefu wa wachezaji wao na uzoefu wa mechi za kimataifa.

Lakini bado naamini tunaweza.

Dakika ya 21 inaenda hiyo... Bila bila
 
Nakwambia tumegangamala sana tu....tumeipruvu...tunaonekana kabisa hatuna uzoefu....
Mtoe mtoe huyoooooo, anacheza mpira na watoto wa kiume hapa...alaa!
 
MTUMEEEEEE!!!!!! UWIIIIIII!! Si nilisema mimi....
Tunawaweka sana nyuma...na yule sijui ni sentaafu kasimama tu anamuangalia streka anaruka kichwa...
 
Inasikitisha ila hawa jamaa wamepania hasa wanacheza jihadi sana
 
MTUMEEEEEE!!!!!! UWIIIIIII!! Si nilisema mimi....
Tunawaweka sana nyuma...na yule sijui ni sentaafu kasimama tu anamuangalia streka anaruka kichwa...

Tusikate tamaa, jamaa tunaweza kuwafunga kama tukitulia. I hope the Senegal curse has been cured.
 
Bado mchezo si mbaya. Tuongeze juhudi. Wetu hawa.
 
Mh. Invisible wewe Simba nini? Manake naona jamaa hapo juu alisema Mungu ibariki yangu na punde tukapigwa goli!
 
Ni wazi jamaa wanapanda sana golini kwenu. Ndiyo maana Dihile anaonekana kifaa. Maximo kama kawa ... Presha juu. Hakai chini.
 
Back
Top Bottom