Mbona katoa ushauri mzuri sana, mtaani hakuna amsha amsha kabisa! Ni kama wananchi hawana taarifa yoyote na CHAN!Wewe yafanye hayo bwana mjuaji
Yeye alete hizo amsha amshaMbona katoa ushauri mzuri sana, mtaani hakuna amsha amsha kabisa! Ni kama wananchi hawana taarifa yoyote na CHAN!
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Unajibu kijinga na kishamba sana mbona jamaa katoa mawazo mazuri punguza mihemko na ligi zisizo na msingiYeye alete hizo amsha amsha
Nafikiri mwamba ni kama anatoa ushauri mkuuWewe yafanye hayo bwana mjuaji
No mkuu USHAURI wenye tija huoWewe yafanye hayo bwana mjuaji
Greatndio mkuu ni ushauri watu watakapoanza kuingia nchini biashara zichangamke apa na pale watu wafaidike pia sio wanakuja wanacheza tu wanaondoka
Mambo yameingiliana, uchaguzi mkuu, unawapa homa watu, CHAN haina nafasi, watu wanfuatilia kesi ya LissuUkiachana na kupigwa kalenda ya tarehe husika ya CHAN kuanza nlitegemea kuona mandalizi makubwa zaidi kama lengo kweli lilikua kujitangaza basi nlikua nategemea yafuatayo:
1) Wasanii kutumia platform hii kutunga nyimbo kadhaa za mashindano
wasanii wa afrika mashariki walitakiwa wawe wameshatoa nyimbo kadhaa za kuhype CHAN pia ata kukiwa na nyimbo rasmi sio mbaya, ila wasanii wengi wangepewa ruhusa kila mmoja atunge nyimbo: Hii inakua fursa kwa wasanii
2) Media zote ziwe na vipindi maalumu ama pia random hapa na pale kupita mtaani kuleta hamasa na kuuliza jinsi wananchi wamejiandaa: Fursa ya kuonyesha nchini zetu
3) Theme ya michuano , slogan, logo, colors pamoja na jezi zisambae mtaani, Fursa kwa wauza jezi kwa sababu nchi nyingi zinakuja apa watanunua jezi pia mechi sio masaa 24, mda ambao hawapo uwanjan watazunguka kwenye mitaa yetu kama number 2 itafanyika vizuri basi wale wanaouza vitu vya kitamaduni kama pale mwenge wangepata wateja wa kutosha kwa sababu wameonekana sana
4) kuna mgahawa nauonaga maeneo ya mlimani opposite unaitwa AFCON 2027, theme kama hizi zinaiweka nchi tayar
Ahsante sana kwa mawazo yako.Ukiachana na kupigwa kalenda ya tarehe husika ya CHAN kuanza nlitegemea kuona mandalizi makubwa zaidi kama lengo kweli lilikua kujitangaza basi nlikua nategemea yafuatayo:
1) Wasanii kutumia platform hii kutunga nyimbo kadhaa za mashindano
wasanii wa afrika mashariki walitakiwa wawe wameshatoa nyimbo kadhaa za kuhype CHAN pia ata kukiwa na nyimbo rasmi sio mbaya, ila wasanii wengi wangepewa ruhusa kila mmoja atunge nyimbo: Hii inakua fursa kwa wasanii
2) Media zote ziwe na vipindi maalumu ama pia random hapa na pale kupita mtaani kuleta hamasa na kuuliza jinsi wananchi wamejiandaa: Fursa ya kuonyesha nchini zetu
3) Theme ya michuano , slogan, logo, colors pamoja na jezi zisambae mtaani, Fursa kwa wauza jezi kwa sababu nchi nyingi zinakuja apa watanunua jezi pia mechi sio masaa 24, mda ambao hawapo uwanjan watazunguka kwenye mitaa yetu kama number 2 itafanyika vizuri basi wale wanaouza vitu vya kitamaduni kama pale mwenge wangepata wateja wa kutosha kwa sababu wameonekana sana
4) kuna mgahawa nauonaga maeneo ya mlimani opposite unaitwa AFCON 2027, theme kama hizi zinaiweka nchi tayar
Hiyo ndiyo jf ya siku hizi. SaasaUnajibu kijinga na kishamba sana mbona jamaa katoa mawazo mazuri punguza mihemko na ligi zisizo na msingi