Nshakwambia if you stop weedHapana, tumefusu 😂😂😂
Ahsante MkuuSudan 1-2 Tanzania dk 82
Shukran sana BossSudan 1-2 Tanzania dk 82
Goli la kibabe kweli kweli.Hapana ni goal la Faulo lilopigwa kwa ufundi
Mmeanza ujinga tena.Bila kuchomekea siasa hamna amani.Wahenga walishasema ukiwa na kiongozi mtukufu juu ,mambo yanabadilika na kuwa ya kitukufu mpaka chini na ukiwa na kiongozi fisadi juu ,mambo yanabadilika na kuwa ya kifisadi mpaka chini.
Baada ya Tanzania kupata rais jembe kweli kweli mambo yamebadilika hadi kwenye michezo na sasa hivi Tanzania siyo kichwa cha mwendawazimu tena.
Kama tulivyowashinda wazee wa tutashitakiwa MIGA ,leo tumewashinda tena Sudan.
# Taifa stars kanyaga mpaka CHAN#
Kazi ipo tena wangoni mmeibuka kichatochato.
Muombe msamaha Mungu,utubu kufuru zako kabla jua halizama.Unampa Mungu kazi ngumu sana kwa hii timu,maana hata yeye haoni pakutusaidia
Bongo watu hawajui mambo badala ya kuuliza wanajitungia story tuu.Nimegundua watu wengi kumbe hawaifahamu hii kanuni, wanaleta stories za magoli kuongeza kuwa mawili, nimecheka sana.
Moja kwa moja hadi Kamerun mkuuKwa hyo. Tumefuzu
Acha ukabila wewe
Itakuchukua muda sana kuelewaUngeweza kujibu kwa staha ili kufikisha ujumbe wsko. Naombs naomba nirudie tena tumeshinda kwa 4- 3 (kwa kuzingatia away goals) . Tunapataje hizo goal Tanzania 2 x 2 = 4 kwa vile zote ni za away. Sudan 1x2 (walilotufunga hapa) + 1 (goal LA Leo) = 3
Ahsante
Ukabila,hakuna cha mngoni wala mgona tumeona watanzania na wasudan uwanjani.Wangoni wawili wamewapeleka CHAN
Mkuu naomba nkusahihishe! Goal la uganini aliongezewi mpka matokeo ya jumla(home and away game's result) yawe suluhu na linaongezwa goal moja tu kwa yule mwenye magoal mengi...kwa mechi ya stars matokeo ni draw 2-2 ila stars ana qualify kwa faida ya magoal mengi ya ugenini....Ungeweza kujibu kwa staha ili kufikisha ujumbe wsko. Naombs naomba nirudie tena tumeshinda kwa 4- 3 (kwa kuzingatia away goals) . Tunapataje hizo goal Tanzania 2 x 2 = 4 kwa vile zote ni za away. Sudan 1x2 (walilotufunga hapa) + 1 (goal LA Leo) = 3
Ahsante
Huyu ndugu watu wamejitahidi kumuelewesha ila naona haelewi alikua hafahamu hili analoambiwaMkuu naomba nkusahihishe! Goal la uganini aliongezewi mpka matokeo ya jumla(home and away game's result) yawe suluhu na linaongezwa goal moja tu kwa yule mwenye magoal mengi...kwa mechi ya stars matokeo ni draw 2-2 ila stars ana qualify kwa faida ya magoal mengi ya ugenini....