CHAN: Sudan 1 vs 2 Tanzania - Taifa Stars yafuzu mashindano ya CHAN kwa faida ya goli la ugenini

Wahenga walishasema ukiwa na kiongozi mtukufu juu ,mambo yanabadilika na kuwa ya kitukufu mpaka chini na ukiwa na kiongozi fisadi juu ,mambo yanabadilika na kuwa ya kifisadi mpaka chini.

Baada ya Tanzania kupata rais jembe kweli kweli mambo yamebadilika hadi kwenye michezo na sasa hivi Tanzania siyo kichwa cha mwendawazimu tena.

Kama tulivyowashinda wazee wa tutashitakiwa MIGA ,leo tumewashinda tena Sudan.

# Taifa stars kanyaga mpaka CHAN#
Mmeanza ujinga tena.Bila kuchomekea siasa hamna amani.
 
Upepo wa kisulisuli ulivuka na kukatiza mito, milima na mabonde mpaka Sudan, ukaipeperusha bendera ya Tanzania!!!!
 
Ungeweza kujibu kwa staha ili kufikisha ujumbe wsko. Naombs naomba nirudie tena tumeshinda kwa 4- 3 (kwa kuzingatia away goals) . Tunapataje hizo goal Tanzania 2 x 2 = 4 kwa vile zote ni za away. Sudan 1x2 (walilotufunga hapa) + 1 (goal LA Leo) = 3
Ahsante
Itakuchukua muda sana kuelewa
 
Ungeweza kujibu kwa staha ili kufikisha ujumbe wsko. Naombs naomba nirudie tena tumeshinda kwa 4- 3 (kwa kuzingatia away goals) . Tunapataje hizo goal Tanzania 2 x 2 = 4 kwa vile zote ni za away. Sudan 1x2 (walilotufunga hapa) + 1 (goal LA Leo) = 3
Ahsante
Mkuu naomba nkusahihishe! Goal la uganini aliongezewi mpka matokeo ya jumla(home and away game's result) yawe suluhu na linaongezwa goal moja tu kwa yule mwenye magoal mengi...kwa mechi ya stars matokeo ni draw 2-2 ila stars ana qualify kwa faida ya magoal mengi ya ugenini....
 
Huyu ndugu watu wamejitahidi kumuelewesha ila naona haelewi alikua hafahamu hili analoambiwa
 
Back
Top Bottom