CHAN: Sudan 1 vs 2 Tanzania - Taifa Stars yafuzu mashindano ya CHAN kwa faida ya goli la ugenini

Mungu ibariki Taifa stars ingawa sina matumaini! Huyu beki wa kulia amekuwa chochoro ila akipata nafasi zaidi anaweza kuimarika
 
Bora lawama tu sii tushazoea FIESTA tu #mpira tunakalisha ratiba[emoji1787][emoji28]
 
Wachezaji hawajitumi to the maximum, wanacheza utadhani wameshashinda tano bila
 
Tuombe stars warudi kwenye mchezo, tofauti na hapo ni kilio kingine
 
Jezi Zimeshalalamikiwa Hizi, Ila TFF Waliziba Masikio
Acha ujua, sliyekwambia jezi ucheza Mpira ni nani, mawazo kama yako ndiyo yanatufanya tuendelee kuwa kichwa cha kichaa. Badala ya kudeal na tatizo tunadeal na na mavazi, tubadilike ndugu zangu, bila hivyo hatutoboi
 
Mungu ibariki Taifa stars ingawa sina matumaini! Huyu beki wa kulia amekuwa chochoro ila akipata nafasi zaidi anaweza kuimarika
Unampa Mungu kazi ngumu sana kwa hii timu,maana hata yeye haoni pakutusaidia
 
Nashuhudia mchezo kati ya Tanzania na Sudan kweli ni aibu na inasikitisha. Wale wachezaji walichaguliwa kwa kufuata kigezo gani?. Hivi kocha wao ni kocha kweli. Nimefunga luninga yangu na kwenda kulala.
 
Wamekuja hapa tumelemba mwandiko weeee,mwisho wa siku tukafungwa .Jamaa wanacheza direct football.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…