Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Hivi kwanini pesa zinazotumiaka kwaajili ya taifa stars zisitomike kuwaanda wale madogo akina kelvin john waliotwaaa ubingwa baada ya miaka kadhaa ndo tushiriki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nipo nacheza na My waifu wangu hapa. Mtanipa matokeo keshoNashuhudia mchezo kati ya Tanzania na Sudan kweli ni aibu na inasikitisha. Wale wachezaji walichaguliwa kwa kufuata kigezo gani?. Hivi kocha wao ni kocha kweli. Nimefunga luninga yangu na kwenda kulala.
Moja mojaaaaMi naona tatizo ni uwezo si jezi
Salum Kimenya,Tz prisons
Huu mpira ulitakiwa uoneshwe live TBC lakini wapo busy na siasa. Huwa nawakubali sana wakenya.Nashuhudia mchezo kati ya Tanzania na Sudan kweli ni aibu na inasikitisha. Wale wachezaji walichaguliwa kwa kufuata kigezo gani?. Hivi kocha wao ni kocha kweli. Nimefunga luninga yangu na kwenda kulala.
Erasto NyoniiiiNi yule aliyemrukia Mrisho Ngasa msimu uliopita na kupewa nyekundu pamoja na Ngasa au huyu ni mwingine??????
Ndiyo huyuNi yule aliyemrukia Mrisho Ngasa msimu uliopita na kupewa nyekundu pamoja na Ngasa au huyu ni mwingine??????
Ndiyo huyu
Sio mbumbumbu, hilo ni litaahira kabisa. Limeandika huku mashine ikiwa mdomoni.Ukiitwa mbumbumbu utalalamika? Timu mbovu tu
Ndio maana wengine tunasema Mungu hayupo, maana hata kama angekuwepo kazi za kipumbavu hivi asingefanya. Mpira una kanuni zake sisi hatutaki kuzifuata alafu tunataka Mungu atusaidie, kama sio utaahira ni nini?Unampa Mungu kazi ngumu sana kwa hii timu,maana hata yeye haoni pakutusaidia
Dk ngapi?
Sudan 1-2 Tanzania dk 82Mie nipo nacheza na My waifu wangu hapa. Mtanipa matokeo kesho