CHAN: Sudan 1 vs 2 Tanzania - Taifa Stars yafuzu mashindano ya CHAN kwa faida ya goli la ugenini

Hivi kwanini pesa zinazotumiaka kwaajili ya taifa stars zisitomike kuwaanda wale madogo akina kelvin john waliotwaaa ubingwa baada ya miaka kadhaa ndo tushiriki
 
Nashuhudia mchezo kati ya Tanzania na Sudan kweli ni aibu na inasikitisha. Wale wachezaji walichaguliwa kwa kufuata kigezo gani?. Hivi kocha wao ni kocha kweli. Nimefunga luninga yangu na kwenda kulala.
Mie nipo nacheza na My waifu wangu hapa. Mtanipa matokeo kesho
 
Nashuhudia mchezo kati ya Tanzania na Sudan kweli ni aibu na inasikitisha. Wale wachezaji walichaguliwa kwa kufuata kigezo gani?. Hivi kocha wao ni kocha kweli. Nimefunga luninga yangu na kwenda kulala.
Huu mpira ulitakiwa uoneshwe live TBC lakini wapo busy na siasa. Huwa nawakubali sana wakenya.
 
Ndiyo huyu

Kama ndiye kwa maoni yangu ni liability...ana hasira za kipuuzi ...Msimu uliopita alipata kadi nyekundu ya kijinga na kusababisha Prisons kufungwa 3-1 na Yanga wakati ilikuwa ni dhahiri Ngasa angelimwa nyekundu peke yake
 
Unampa Mungu kazi ngumu sana kwa hii timu,maana hata yeye haoni pakutusaidia
Ndio maana wengine tunasema Mungu hayupo, maana hata kama angekuwepo kazi za kipumbavu hivi asingefanya. Mpira una kanuni zake sisi hatutaki kuzifuata alafu tunataka Mungu atusaidie, kama sio utaahira ni nini?
 
Hii timu haichezi kwa kujitoa kabisa, wamelegea utadhani hawajala
 
Hii ni timu ya Taifa yaTanzania au Tanganyika? Ni kweli hakuna mzenji mwenye uwezo wa kucheza kikosi cha kwanza? Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…