Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
😂😂Mbwana Samatta alikuwepo dimbani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Mbwana Samatta alikuwepo dimbani?
Hahahaaaa..... hahahaaaa........ Piere oyeee!😂😂
Pierre alienda bungeni na Hadi Egypt kushuhudia kichapo.Hahahaaaa......... Hii ndio ile timu ya Piere Liquid!!!
Kuna msemo kwamba, kuna watu wakiwa na nyundo, wanafikiri tatizo lolote ni msumari, walimalize kwa kugonga kwa nyundo.Taifa stars imeanza vibaya huko Cameroon dhidi ya Zambia kwa kulala 2-0.
Nadhani rais atatekeleza ahadi Yake ya kutumbua waziri wa michezo ingawa hakucheza.
DuhStazi hata ifundishwe na mourinho,wenger,guardiola,pochetino,ferguson,scolari,ancelot KIPIGO KIPO PALEPALE.
What is meaning?Mbwana Samatta alikuwepo dimbani?
Umetisha sana.Kuna msemo kwamba, kuna watu wakiwa na nyundo, wanafikiri tatizo lolote ni msumari, walimalize kwa kugonga kwa nyundo...
tushushie simulizi mwalimu...Kipindi cha dikteta wa kifashisti Benitho Mussolini Italy ilichukua kombe la dunia mara mbili mfululizo.
Mwaka 1934 na 1938, unajua aliwaambia nini wachezaji na makocha kabla ya mechi ???
EehKipindi cha dikteta wa kifashisti Benitho Mussolini Italy ilichukua kombe la dunia mara mbili mfululizo.
Mwaka 1934 na 1938, unajua aliwaambia nini wachezaji na makocha kabla ya mechi ???
Boss jezi zao zikoje,kapicha pleaseTeam iko disorganized, pupa na papara, hovyo kabisa! Na ukichanganya na jezi zao inakuwa utopolo square
Ndiyo uwezo wao ulipoishia,Wanacheza kibinafsi sana na kubutua butua
Hata watoto wa Saddam Husein yule Uday&Qusay walikua wanawachapa viboko wachezaji wa timu yao ya taifa kule kwny vyumba vya wachezaji.Kipindi cha dikteta wa kifashisti Benitho Mussolini Italy ilichukua kombe la dunia mara mbili mfululizo.
Mwaka 1934 na 1938, unajua aliwaambia nini wachezaji na makocha kabla ya mechi ???