Chanel ya Mbc1 imetangaza kuwa imegunduliwa perfume yenye sumu na kuua nchini :-Iraq, Bahrein na Sa

Chanel ya Mbc1 imetangaza kuwa imegunduliwa perfume yenye sumu na kuua nchini :-Iraq, Bahrein na Sa

braina

Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
28
Reaction score
5
Chanel ya Mbc1 imetangaza kuwa imegunduliwa perfume yenye sumu na kuua nchini :-
Iraq, Bahrein na Saudia, vilevile ktika mji wa Alain (U.A.E), na Bremi nchini Oman.

Watu 8 nchini Iraq wameshafariki dunia na wapatao 35 wapo hali mbaya.

Tayari wameshagundua jina na muundo wa perfume hii yenye sumu na kuua, nayo inaitwa (LOVELY ) na baada ya uchunguzi imeonyesha kuwa athari yake haitokei mara baada ya kutumia (inapogusa sehemu ya mwili), bali inachukua siku 3-4 na inaweza kuwa ni kifo cha ghafla.
Kwa usalama wako na uwapendao ieneze habari hii haraka sana.

Isambaze haraka kabla hajainunua mtu kati ya uwapendao🙏 picha ya pafyum hiyo 👇

Ndio hii.
ImageUploadedByJamiiForums1396977449.611860.jpg
 
wanamuharibia biashara tu. hiyo si perfume ya muigizaji Sarah Jessica Parker
 
Mtajijua wenyewe na maperfume yenu kama ikiwa watoto tu wanakufa kwa malaria sembuse nyie magumegume?!
 
Hii habari Nashangaa leo imetoka sana, lakini hii ilitokea karibia mwaka uliopita naona bongo habari imechelewa kufika
 
Back
Top Bottom