Chaneli ya TVN kutokea Korea yaingia rasmi Afrika

Kwa nini hupendi korean drama?
Mmmmmmhmn kwanza katika kudirect bado sana. Matukio yanatengezwa kishamba sana kumpa mtazamaji msisimko usio wa lazima.

Pili, story zao hazijapishana sana na bongo movie. Mfano, kijana masikini anapambana kuwa tajiri, mama mkwe hampendi mtoto wa kambo, akina mama wamechanganya watoto hospitali wamekuwa wakubwa sasa wanatafuta wazazi wao. Simple story ambazo me huwa naona creativity ni ndogo sana plus hazina influence katika maisha ya kisasa.

Me huwa natazama movie za Hollywood sana. Na hata series huwa naziweza sana za amerika na UK.

Kwanza lugha ni nyepesi kuelewa. Madirector ni wabunifu sana. Video ni za ubora wa juu plus ubunifu na mandhali ni wa kisasa sana.

Story lines zao ukimaliza kutazama movie kuna kitu inakupa challenge kuhusu maisha na hata ukitoka unakuwa na jambo jipya kichwani.

Ukiona Tamthilia hadi beki tatu, na watoto wako walio primary school wanafuatilia jitafakari sana upeo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah aisee kumbe....hiyo point yako ya mwisho nimeielewa zaidi, ila mimi siwezi kuacha kuangalia kdrama hata iweje aisee nimefunga nao ndoa....acha tu nikubali kuwa upeo wangu mdogo
 
I couldn’t agree more, Aisee hiyo point yako ya mwisho ulioisema ni 10/10 aisee chukua kinywaji chochote cha karibu yako kama ni beer soda au wine ntalipa.
Mfano hizi Bollywood Series za Channel X kuna kale kanaitwa KULFI aisee mm n adult ntaangaliaje mambo kama zile
 
Dah aisee kumbe....hiyo point yako ya mwisho nimeielewa zaidi, ila mimi siwezi kuacha kuangalia kdrama hata iweje aisee nimefunga nao ndoa....acha tu nikubali kuwa upeo wangu mdogo
Kwakwel tumefunga wengi ndoa na Hawa wakorea, kitu kinanipa stress siwez imagine ten years to come eti majukum ni mengi ntakosa Muda wa kutizama [emoji23][emoji23]...

Dawa ni kushusha more drama
 
Mkuu zile sio Bollywood Series, Hazitokani kabisa na Bollywood, Unajua India kuna Industry nyingi sana nyengine unakuta zinakaribiana na Bongo movie tu.

Bollywood wanatoa Web Series zipo vizuri sana tu.
 
Mkuu naomba uniambie kidogo kuhusu web series
 
Afadhal i
 
Mkuu zile sio Bollywood Series, Hazitokani kabisa na Bollywood, Unajua India kuna Industry nyingi sana nyengine unakuta zinakaribiana na Bongo movie tu.

Bollywood wanatoa Web Series zipo vizuri sana tu.

Kama sio Bollywood kumbe wale ni industry ipi tena jamani?
 
Kama sio Bollywood kumbe wale ni industry ipi tena jamani?

Ni Tv industry za Mumbai, hawana mahusiono kabisa na Bollywood. India kuna Industry nyingi sana.

Zile kule India ni kwa ajili ya akina mama wa uswahilini na watoto, Hata huko India kwenyewe zinachukuliwa kama ni Utopolo tu, Sema zina mashabiki wake wengi tu mana India pia kuna Jamii kubwa ya watu wenye kili ndogo huko uswahilini.
 
daah hizi sasa dharau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…